leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,708
Hao kuchi ni aghali sana bora ununue vifaranga au mayai ya kuchi ukaangue kwa kuku wa kawaida. Hapo Buguruni sokoni kuna mpemba anawauza kwa laki 4 kwa mmoja, nilipouliza kulikoni nikaambiwa wateja wao ni wacheza kamari huwa wanawagombanisha kwa kuwekeana dau.