Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Natafuta kuchi PURE, siyo chotara wa kuchi. Kwaajili ya mbegu. Kama unao nipigie nije kuchukua 0683157704 ama 0719206920.
 
Ukitaka kuku aina ya kuchi wasiliana na mimi.
Kuchi mdomo mfupi - high quality kifaranga bei Tsh 50,000.
Kuchi mdomo mrefu - wakupiganisha- kifaranga tsh 20,000.
Kifaranga wanaotakana na jogoo kuchi wa kupigana mama kuku wa kawaida Tsh 10,000.
Vifaranga wote ni wa wiki mbili hadi nne, kwa maelezo zaidi ni PM nipo Zanzibar
Mimi nawahitaji hao kuku NAOMBA NAMBA YAKO
 
tuwekee picha basi tuone tofauti zao, na jaribu kuelezea kiundani kidogo, kwa sisi tusio elewa tofauti tujue. Pia itakurahisishia kuvuta wateja wengi
 
Huyu jamaa inaelekea hayupo serious na hii kazi, maanake amepost uzi utadhani anakimbizwa. cjui ni kwa nini ameuleta hapa ingali anajua hicho alichoandika hakieleweki na wasomaji wengi hawamwelewi
 
Jogoo wa kwanza ni kuchi mdomo mrefu.
Na picha ya jogoo wa pili ni kuchi mdomo mfupi.
Maelezo mingine yatategemea wewe unahitaji kujua ni nini?
 
Attachments

  • 1427737723006.jpg
    1427737723006.jpg
    72.2 KB · Views: 418
  • 1427737761087.jpg
    1427737761087.jpg
    61.9 KB · Views: 405
Huyu jamaa inaelekea hayupo serious na hii kazi, maanake amepost uzi utadhani anakimbizwa. cjui ni kwa nini ameuleta hapa ingali anajua hicho alichoandika hakieleweki na wasomaji wengi hawamwelewi

Nipo sirius except natumia simu ya mkononi, so inaleta tabu kupresent vizuri, na hapo juu nilikusudia iwe ni table presentation but imeharibika view yote so ndo maana hunifahamu
 
Kwa hawa kuku - KUCHI , mimi najiona labda nipo nyuma ya wakati; nimezoea kusikia kuku wa Malawi, wanataga mayai mengi, hawaugui hovyo, pia wanahimili mazingira tofauti tofauti.
Pia zipo jamii nyingine za kuku wa kienjeji kule Rufiji zenye sifa kama hizo na sifa nyingine za ziada kwa kutoa nyama nyingi na niwatamu;
Je KUCHI wanasifa gani ya kipekee hadi wauzwe bei hiyo?
 
Umefanya vizuri kutuwekea picha sasa chamuhimu ni maelezo yao, tusio jua tunaona kuku ni kuku tu, labda Kwa umbo ndio nitafikiria toafauti ya bei. Lakini hapa bei ni tofauti kubwa sasa tuelezee hawa kuku faida zao na hasara zao. Atanipa faida gani huyo mdomo mfupi na huyo mdomo mrefu?
 
Matumizi makubwa wa kuchi hawa ni:
1. Kupiganisha km ww ni mshabiki, baadhi ya watu wanachezeshea kamari. Lkn kuchi wa kupaganisha bei yake haifiki 800,000 .
2. Bustani, kuku hawa ndiobwana bei kubwa kuliko tunavo fikiria itatetegemea quality yake, na hii ni jambo la kawaida ktk ufugaji, kwani hata njiwa wapo pear Milion na wengine zaidi, kiufupi si kuku wa kuchinja.
 
Kwa hawa kuku - KUCHI , mimi najiona labda nipo nyuma ya wakati; nimezoea kusikia kuku wa Malawi, wanataga mayai mengi, hawaugui hovyo, pia wanahimili mazingira tofauti tofauti.
Pia zipo jamii nyingine za kuku wa kienjeji kule Rufiji zenye sifa kama hizo na sifa nyingine za ziada kwa kutoa nyama nyingi na niwatamu;
Je KUCHI wanasifa gani ya kipekee hadi wauzwe bei hiyo?

Mkuu, je una contact zozote za rufiji napoweza pata hao kuku? Havome.
 
Back
Top Bottom