Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nawahitaji hao kuku NAOMBA NAMBA YAKOUkitaka kuku aina ya kuchi wasiliana na mimi.
Kuchi mdomo mfupi - high quality kifaranga bei Tsh 50,000.
Kuchi mdomo mrefu - wakupiganisha- kifaranga tsh 20,000.
Kifaranga wanaotakana na jogoo kuchi wa kupigana mama kuku wa kawaida Tsh 10,000.
Vifaranga wote ni wa wiki mbili hadi nne, kwa maelezo zaidi ni PM nipo Zanzibar
Kuchi mdomo mfupi
1. Kifaranga cha wiki moja Tsh 50,000.
2. Kifaranga mwezi mmoja Tsh 100,000.
Bei zinaendelea mpaka 1,500,000 kwa mujibu wa chaguo lako kwa kuku husika
tuwekee picha basi tuone tofauti zao, na jaribu kuelezea kiundani kidogo, kwa sisi tusio elewa tofauti tujue. Pia itakurahisishia kuvuta wateja wengi
Mimi nawahitaji hao kuku NAOMBA NAMBA YAKO
Huyu jamaa inaelekea hayupo serious na hii kazi, maanake amepost uzi utadhani anakimbizwa. cjui ni kwa nini ameuleta hapa ingali anajua hicho alichoandika hakieleweki na wasomaji wengi hawamwelewi
Huyu jamaa inaelekea hayupo serious na hii kazi, maanake amepost uzi utadhani anakimbizwa. cjui ni kwa nini ameuleta hapa ingali anajua hicho alichoandika hakieleweki na wasomaji wengi hawamwelewi
[/COLOR]
Huyu kuku wa milion anataga dhahabu au?
Nipo sirius except natumia simu ...
[/COLOR]
Huyu kuku wa milion anataga dhahabu au?
Umefanya vizuri kutuwekea picha sasa chamuhimu ni maelezo yao, tusio jua tunaona kuku ni kuku tu, labda Kwa umbo ndio nitafikiria toafauti ya bei. Lakini hapa bei ni tofauti kubwa sasa tuelezee hawa kuku faida zao na hasara zao. Atanipa faida gani huyo mdomo mfupi na huyo mdomo mrefu?
wrwe ujaelewa
Kwa hawa kuku - KUCHI , mimi najiona labda nipo nyuma ya wakati; nimezoea kusikia kuku wa Malawi, wanataga mayai mengi, hawaugui hovyo, pia wanahimili mazingira tofauti tofauti.
Pia zipo jamii nyingine za kuku wa kienjeji kule Rufiji zenye sifa kama hizo na sifa nyingine za ziada kwa kutoa nyama nyingi na niwatamu;
Je KUCHI wanasifa gani ya kipekee hadi wauzwe bei hiyo?