Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Salaaam wadau....Kuchi ni ghali lakini sio kwa bei hiyo...Mimi ninao nilinunua dume kwa laki na ishirini....Vifaranga wanauza elf 25 mpaka 40

Hizo ndo bei yake, ktk market ya Zanzibar, sasa km ww unao, nioneshe picha mm nipo tayari kununua kwa laki mbili na hamsini.
Bila kupatana
 
kabla sijanunua hao kuku lazima tupate ripoti ya daktari kama hawana magonjwa nyemelezi au hatarishi mana naona unawauza bei rahisi sana
 
Mimi nashindwa kuelewa kinachompa kuchi hii thamani ni nini hasa....kwa bei iyo si bora ukanunue ng'ombe.

Watu wana inflate sana bei za huyu kuku. Naanza uzalishaji mkubwa wa kuchi. Ntakuwa nauza kifaranga kwa sh 1800 na wa mwezi 3000..

Kinachomfanya Kuchi awe na bei kubwa ni kutokana na demand yake kubwa sana Dubai... Ambao uwatumia kupiganisha


Bei hiyo sh 1,700,000 kwa kuku wangapi?
 
Mimi ni mfugaji ila mkuu umetisha kwa bei zako.kifaranga 50000 hadi 100000 duh,ebu jipange upya afu urudi tena!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Matumizi makubwa wa kuchi hawa ni:
1. Kupiganisha km ww ni mshabiki, baadhi ya watu wanachezeshea kamari. Lkn kuchi wa kupaganisha bei yake haifiki 800,000 .
2. Bustani, kuku hawa ndiobwana bei kubwa kuliko tunavo fikiria itatetegemea quality yake, na hii ni jambo la kawaida ktk ufugaji, kwani hata njiwa wapo pear Milion na wengine zaidi, kiufupi si kuku wa kuchinja.
Mkuu hapo kwenye red ina maana hawa kuku wana uwezo wa kutabiri? kama ndivyo basi utapata soko kubwa sana maana vijana wanaliwa hela kweli kwenye football betting utasikia Aaaahh!!! mkeka umechanika.......ilikuwa bado kidogo tuu............................timu moja tuu imeharibu..........ipo siku nitamla muhindi. Sasa naona uleleta suluhisho
 
kuku 1,500,000? halafu atanipa faida ya kiasi gani? hebu fafanua vizuri
 
Jaman! Kwa bei hiyo hata mimi ntafuga tena ntawafata Zambia kabisa na kazi naacha maana nina hakika nitatajirika haraka sana.

Mghosi
 
Nahitaji kuku wa kienyeji aina ya kuchi ama chotara, nataka nianze kufuga haraka sana. Niko MWANZA.

NOTE: mods msihamishe uzi huu nimeweka hapa sababu watu wengi wanapita hapa
 
  • Thanks
Reactions: tyc
Hizo ndo bei yake, ktk market ya Zanzibar, sasa km ww unao, nioneshe picha mm nipo tayari kununua kwa laki mbili na hamsini.
Bila kupatana

ndaha .. tuwekee picha za hao wakwako basi! Twasubiri
 
Back
Top Bottom