������ hatari sana! Naona tumeamua kuumizana wenyewe kwa wenyewe!!Kifaranga 1 Sh 50,000? Sijakupata Kabisa Mdau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
������ hatari sana! Naona tumeamua kuumizana wenyewe kwa wenyewe!!Kifaranga 1 Sh 50,000? Sijakupata Kabisa Mdau?
Wapo call 0779420000
hivi mitetea ya kuchi inatamia? je nikimchukua jogoo nikachanganya na hawa mitetea ya kienyeji ya kawaida kuku atakayetoka atakua chotara je naye kama ni wa kike atatamia kweli mana kuna vitu nasikiasikia ambavyo ndivyo sivyo
ngoja nikufafanulie kutoka na uzoefu nilio nao.
kuch majike hawawi wakubwa sana wanataga na wanaatamia
ila tu wengi wao hawajui kutunza vifaranga.
katika hao vifaranga ndipo wanapotoka majogoo ambayo hukua sana tofauti na kuchi wa kike.
je hao kuchi ndio wale wa malawi? je hao kuchi wanataga mayai mangapi kwa siku? na kama hao kuchi siyo hao wa malawi je hao wa malawi nao wanatamia?
Bei hiyo sh 1,700,000 kwa kuku wangapi?Bei ukweli ni kubwa kuliko tunavo fikiria, yani km ntaamia kuuza basi ni Tsh 1,700,000
Bei ukweli ni kubwa kuliko tunavo fikiria, yani km ntaamia kuuza basi ni Tsh 1,700,000