Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Habari.
Angalia picha za kuku aina ya kuchi
 

Attachments

  • 1434207763623.jpg
    1434207763623.jpg
    98.8 KB · Views: 937
  • 1434207822001.jpg
    1434207822001.jpg
    87.4 KB · Views: 819
  • 1434207996532.jpg
    1434207996532.jpg
    40.3 KB · Views: 999
  • 1434208042759.jpg
    1434208042759.jpg
    52.5 KB · Views: 781
  • 1434208073562.jpg
    1434208073562.jpg
    33.8 KB · Views: 859
Ninauza kuku aina ya kuchi wa midomo mifupi jogoo na mtetea.

Kwa mawasiliano piga simu na. 0718257185
 

Attachments

  • 1434565363468.jpg
    1434565363468.jpg
    61.2 KB · Views: 537
Umekosa hata picha ya kuchi moja ama wewe ni dalali? Utatangazaje biashara kisha uweke sample isiyoendana na biashara tajwa?
 
huyo si kuchi mdomo mfupi,mdomo mfupi ni kama huyu hapa.huyo namuuza laki mbili na nusu.
 

Attachments

  • White kuchi.jpg
    White kuchi.jpg
    28.2 KB · Views: 826
Shilingi laki mbili tu (200,000). Karibu sana mkuu!
Duh..,
Naomba kujua faida ya hawa kuku tofauti na kuku wengine...

Kwa Mtaji huu lazima hii itakuwa one of the most lucrative business in the World.., au hawa viumbe ni extinct. Hawa ukiwa nao wengi lazima uwawekee Private Guards kabisa pamoja na CCTV
 
mnauza bei gani?? na ni shilingi ngapi?? kwa kila kifanga?? ni wa muda gani mie nataka wa week mbili au tatu
 
Mkuu kutuma Uganda sijawahi labda kama unaye mtu hapa Dar tunaweza kufanya

nimepata mtu hapo dar anaweza kuwapoke na kuwaprocess/ kuwatuma huku nilipo so unauzaje kwa kifaranga cha week tatu??? & wakubwa nao unawauza?? kwa bei gani????
 
Wadau naomba kuuliza bei halisi ya huyu kuku, sababu nimeona link ya 2013 huko Kenya anauzwa 2000kshs, pia nimeshakutana na watu humu wana-qoute zaidi ya laki kadhaa kwa kuku mmoja.. !!!

Sasa najiuliza kwanini huyu kuku ana bei kubwa hivi ?

  • Je ni mtamu kuliko wengine ?
  • Je ni sababu ya uadimu wake na kama ni adimu kwanini watu wengi wasijitahidi kumzalisha kama return ya investment ni kubwa kiasi hicho ?
  • Je ni kweli nikiwa nao naweza kupata mteja kwa kutoa elfu 80 au zaidi kwa kuku mmoja ?, Na huyo mteja anamfanyia nini ? ni wa mbegu, uganga au kumla mchuzi ?

Maswali mengi najiuliza bila majibu..., sababu kama kweli wateja wapo na bei ndio hio inayotajwa..., maybe am in the wrong business, niambieni na mimi niweze kufaga hawa viumbe. Ingawa my business sixth sense bado inakataa this is too good to be true.
 
Anayemhıtaji kumla hawezi kutoa elfu 80.Anayemhitaji kufuga anaweza, wale kuku ni wazıto na wanatumika na wacheza kamali kugombanishwa.Wana uwezo mkubwa wa kupgana na ukiwakuta wanapigana ni burudani.
 
ni upepo tu utapita kama kware mkuu, hawana sababu ya kuuzwa bei hiyo uku kwetu wapo wengi tatizo wamemix sana na kienyeji brand lakini sijawahi sikia wanauzwa zadi ya elfu 20.
 
ni upepo tu utapita kama kware mkuu, hawana sababu ya kuuzwa bei hiyo uku kwetu wapo wengi tatizo wamemix sana na kienyeji brand lakini sijawahi sikia wanauzwa zadi ya elfu 20.

Huko kwenu no wapi mkuu, ningependa kupata jogoo moja na tetea moja
 
huwa akiona mwizi anamkimbizaaaa...pia Akihisi uwepo wa mchawiii...ANAMTAARIFU Mwenye nyumba

Hawa kuku wanoko Sana. Siku moja Nilikuwa naongea na simu na bosi wangu nikimweleza Kuwa siwezi kwenda kazini kwasababu tumbo limenichafuka, basi pembeni alikuwepo kuku wa Kuchi kwa sauti ya juu akasema Kama tumbo limekuchafuka meza tambara LA deki
 
Back
Top Bottom