N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 560
Kwetu wanaitwa kuku kishingo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu wanaitwa kuku kishingo
ngoja nikufafanulie kutoka na uzoefu nilio nao.
kuch majike hawawi wakubwa sana wanataga na wanaatamia
ila tu wengi wao hawajui kutunza vifaranga.
katika hao vifaranga ndipo wanapotoka majogoo ambayo hukua sana tofauti na kuchi wa kike.
Unataka kama wangapi?
uko wapi??!! unataka mangapi??!!
3000 kwa yai mkuu
nilikuwa nao lakini walikufa wote kwa ugonjwa.
bei ya kuchi mdogo ni elfu 30 mpka 40.
bei ya kuchi mkubwa ni elfu 80 mpka 100k
K4LIFE ndo hiyo hiyo unayo au