Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Hao kuku ngumu sana kuwapata labda chotara alafu vifaranga
 
Mkuu chotara wapo wengi mjini najua na mimi nnao bt ili kupata mbegu nzuri inabidi upate pure breed ili wakibreed unapata both pure na chotara ndugu !
 
Hapo sawa, ila kwa ushauri njia rahisi kama una ndugu mkoan hasa maeneo ya singida na tabora wasiliana nao wakutafutie, au ongea na madereva wa ma lori unaojuana nao au kama una mtu anaefahamiana nao mtumie yeye kuongea na hao madereva wakiwa kwenye mihangaiko yao wakutafutie
 
Ahsante kwa ushauri mkuu, Singida hasaa wilaya ya Iramba kuku wameadimika sana kaka ! Ila connection ya Tabora sina ntajaribu kufollow up !
 
Habari wadau !
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, Natafuta kuchi wa mbegu kama ni Jogoo au Tetea ! Natanguliza shukraan wadau mwenye nae au mtonyo tuwasiliane kwa P.M. Ahsanteni sana

N.B: - Bei iwe reasonable sio za kusadikika.
- Nipo Dar
- Biashara iwe cash basis a.k.a Man to man.

mkuu pole na majukumu Nimependa hii {MAN to MAN} kuna post niliiona hapa ya mdada anaeuza vifaranga anaitwa gloria nadhani anaweza kukusaidia ukawapata. Pia hebu tembelea post zote za watu wanaouza vifaranga unaweza ukawapata.

mkuu hebu fuatilia hapa patakusaidia sana.
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/726955-wafugaji-wa-kuku-unaweza-tena-inawezekana.html
 
Ahsante mkuu kwa wasaha wako bt wengi wanaouza vifaranga vya kuchi in chotara ----si chotara tu bali ni chotara wa chotara.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu, Singida hasaa wilaya ya Iramba kuku wameadimika sana kaka ! Ila connection ya Tabora sina ntajaribu kufollow up !
aliyekwambia kuku wameadimika Iramba siyo kweli,kuch wapo ningekutafutia ila naona una haraka mno,
 
Hornet we ntaftie tuu wala usjali ! Mi Iramba nyumbani nimesema hvo kutokana na sources zangu nyingi kushindwa kudeliver to my expectations!
 
Mkuu chotara wapo wengi mjini najua na mimi nnao bt ili kupata mbegu nzuri inabidi upate pure breed ili wakibreed unapata both pure na chotara ndugu !

Mkuu naomba kuuliza unatofautishaje mbegu ya Kuchi chotara na Kuchi original?...,kama unaweza weka hapa picha zao aina zote mbili za kuchi ingekuwa msaada kwangu.Shukhrani kaka!
 
Habari wakuu

Vifaranga bora vya kuku, Chotara ya KUCHI, KENBRO na RHODE vinapatikana
Kifaranga cha siku 1-5 2000

Tupo mbezi mwisho, mwanzoni mwa njia ya Goba

Mawasiliano zaidi - 0712 057514

Karibuni Sana tufuge

PARENTS na VIFARANGA wao

Safi sana Mkuu kwa kuleta hii thread,vipi Kuchi original vifaranga wanapatikana?au ulionao ni wale Kuchi chotara tu?inachukua muda gani kupata vifaranga tangu ninapotoa order?na Bei yake ipo vipi?
Nashukuru Mkuu!
 
sehemu nyingine ambayo unaweza kupata kuchi original ni Mafia kisiwa kidogo cha Mwambajuani, hapo kuna kuchi wa kutosha, kasheshe ni jinsi ya kuwafikisha ng`ambo ya bahari.

Mkuu Malila kwanza nashukuru nashukuru kwa taarifa,pili nauliza kwani hakuna usafiri wa boat wa kufika kwenye hicho kisiwa?na kama unafahamu bei za hao kuchi original zipo vipi huko kisiwani?nashukuru!
 
Mkuu, nikimpata Kuchi ntamuweka hapa ! Wana midomo mifupi,shingo refu,miguu mirefu kwa ujumla ni warefu, kisha mostly wanamikia flat kama ya ndege na siyo ^ kama kuku wengi wa kienyeji ! Ni hayo baadhi !
 
Mkuu Ahmed asante kwa ufafanuzi,na je hao Kuchi chotara unawatambuaje?wao maumbile yao yapo vipi mkuu?nashukuru!
 
Back
Top Bottom