Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubwa ntashukuru sana make nlianza kuwaza sana... Naomba unichagulie majogoo mata2 na majike mawili...
Bado vinapatikana - Karibuni
Yeye oda yake ni ya kuchi pekee siyo chotara. Chotara wanapatikana, kila wiki vifaranga vinatoka.Vinachukua mda gani kuvipata maana kunamtu kasema kaweka order miezi miwili iliyopita
Chotara ni mbegu zaidi ya moja imechanganywa hivyo kifaranga kinachotoka hapo ni chotara. Kuchi ni mbegu moja ya hapa Tz. Sifa ya kuchi ni warefu na wazito. Kuku hawa chotara si wa kisasa bali ni kienyeji, wanafaa kwa kutaga na nyama piaTofauti kati ya KUCHI na chotara nini? Na je niwanyama au wamayai?
pongezi kwa wafugaji wote wapya na wazamani waliopata hari mpya ya ufugaji na kuchukua hatua kwa kujipatia vifaranga bora .
Kwa wafugaji wapya vifaranga bado wanapatikana. Karibuni sana.
Karibu sana mkuu. banda liwe na nafasi ya kutosha na liruhusu hewa kuingia na kutoka. 1sq meter-3/4kuku. chanjo kuna newcastle, ngumboro, ndui kila moja kwa wakati wake.Matokeo mazuri ni matunzo mazuri hivyo miezi 5 unanza kuokota.Mkuu nimeshawishika naitaji vifaranga naomba unisaidie kwa hya maswali banda la kuku inabidi liwe vp na chakula chao ni nini,watachukua muda gani hadi kuanza kutaga?vp natakiwa kuwapa chanzo gani nikiwachukua
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
mkuu, inabidi uwe na parent stock wa broilers ndipo utotolesheMkuu nahitaji kutotolesha broilers,hv mayai ya broiler yanapatikaje?nipo dar