Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wadau !
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, Natafuta kuchi wa mbegu kama ni Jogoo au Tetea ! Natanguliza shukraan wadau mwenye nae au mtonyo tuwasiliane kwa P.M. Ahsanteni sana
N.B: - Bei iwe reasonable sio za kusadikika.
- Nipo Dar
- Biashara iwe cash basis a.k.a Man to man.
aliyekwambia kuku wameadimika Iramba siyo kweli,kuch wapo ningekutafutia ila naona una haraka mno,Ahsante kwa ushauri mkuu, Singida hasaa wilaya ya Iramba kuku wameadimika sana kaka ! Ila connection ya Tabora sina ntajaribu kufollow up !
Mkuu chotara wapo wengi mjini najua na mimi nnao bt ili kupata mbegu nzuri inabidi upate pure breed ili wakibreed unapata both pure na chotara ndugu !
aliyekwambia kuku wameadimika Iramba siyo kweli,kuch wapo ningekutafutia ila naona una haraka mno,
aliyekwambia kuku wameadimika Iramba siyo kweli,kuch wapo ningekutafutia ila naona una haraka mno,
Habari wakuu
Vifaranga bora vya kuku, Chotara ya KUCHI, KENBRO na RHODE vinapatikana
Kifaranga cha siku 1-5 2000
Tupo mbezi mwisho, mwanzoni mwa njia ya Goba
Mawasiliano zaidi - 0712 057514
Karibuni Sana tufuge
PARENTS na VIFARANGA wao
Nahitaji hao wa asili na si chotara mkuu!
sehemu nyingine ambayo unaweza kupata kuchi original ni Mafia kisiwa kidogo cha Mwambajuani, hapo kuna kuchi wa kutosha, kasheshe ni jinsi ya kuwafikisha ng`ambo ya bahari.
Mkuu, nikimpata Kuchi ntamuweka hapa ! Wana midomo mifupi,shingo refu,miguu mirefu kwa ujumla ni warefu, kisha mostly wanamikia flat kama ya ndege na siyo ^ kama kuku wengi wa kienyeji ! Ni hayo baadhi !