Kwa mahitaji ya kuchi wasiliana na mzalishaji wa kuku hao kwa namba hii +255 713 564 785
Hao kuchi ni aghali sana bora ununue vifaranga au mayai ya kuchi ukaangue kwa kuku wa kawaida. Hapo Buguruni sokoni kuna mpemba anawauza kwa laki 4 kwa mmoja, nilipouliza kulikoni nikaambiwa wateja wao ni wacheza kamari huwa wanawagombanisha kwa kuwekeana dau.
Wapo call 0779420000niwekee picha nione hapo
Wapo call 0779420000
Unataaka wangapi? Piga 0764601903Wapendwa, anayejua wapi wanapatikana kuku aina ya Kuchi anieleze.
0784413039