Boanerge
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 686
- 180
🤣🤣🤣🤔🤣Ufugaji wa kuku nauogopa mno maana mimi ni mvivu
Niliwah kufuga yaan usiku nilkuwa nikisikia kuku anakohoa nakosa usingizi afu wakiwa wanakoroma maumivu nayasikia mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤔🤣Ufugaji wa kuku nauogopa mno maana mimi ni mvivu
Niliwah kufuga yaan usiku nilkuwa nikisikia kuku anakohoa nakosa usingizi afu wakiwa wanakoroma maumivu nayasikia mimi
Ushazoea broiler anaiva na viungo vyote vya upishi pamojaUmeongea swala la msingi sana,kwanza hao kuku chotara au wa kienyeji wanaofugwa mjini ukimnunua ukamchinja umle ni wagumu balaa, wanacost itabidi umchemshe au umchome mwa muda mrefu ni wagumu kuiva,sijajua ni kwann ama ndo ile kwasababu wanafugwa kimjini mjini!! wanatumia mkaa mwingi ama gesi nyingi, sasa kwa maisha yetu ya mjini haya sio kweli huo muda haupo.
Duuuh umefukua kaburi uzi wa kitambo kidogo, of course nilitaka kuandika kitu in regards to ufugaji kuku nikafuta nikabaki kuwa mpenzi msomaji.....kwahiyo hapo nimewaza kwa Sauti nika-reply ili uzi usipotee ili niendelee kuwa mpenzi msomaji wa comments pindi wanapoweka comments nakuta kialama cha notificationNa ukaandika tena
[emoji23][emoji23]
Nimezingatia hili sikuhzi nikijisikia namwambia Wife andaa mazingira natoa kituKuku wa kienyeji kuwafuga kwa kulenga zaidi matumizi ya familia kiafya ni bora sana kibiashara watakugharim. Epuka kula broilers fuga nyumbani kuku wa kienyej watoto wako pia wale mayai ya kienyeji. Wale kuku wa wiki6 achana nao.
Hao broiler pia ni pasua kichwa...Mimi wife anafuga hao kuku nimeona umeongea ukweli mtupu.
Sema yeye anatotolesha anauza vifaranga. Ila kiukweli hata huyo jogoo unayemuuza 20-25k anakuwa ametumia gharama zaidi ya hiyo pesa,hata kama wateja watapatikana. Nilishamshauri afuge broiler.
Utafiti perfect kabisa huuHao broiler pia ni pasua kichwa...
My experience tangu nikiwa mdogo nasoma primary mzee alifuga layers na baadae nikiwa mtu mzima akafuga broilers....kote huko hakuna alichoambulia zaidi ya hasara na eventually miradi yote ilikufa.
Nimekuwa nikijaribu kuelewa kwanini small scale poultry farmers hawatoboi na observation yangu ni hii: Supply chain ya poultry inadhibitiwa na two major key players: watengezaji/wasambazaji wa vyakula na wauza vifaranga.
Wauza vifaranga
Hawa wanazalisha vifaranga in batches...kwa hiyo wafugaji nao wanapata vifaranga in batches, implying kuna kipindi fulani maalum wafugaji wa eneo fulani watapelekewa vifaranga kwa wakati mmoja...mkianza kufuga kwa wakati mmoja, mtatoa kuku mfano broilers kwa wakati mmoja na kulijaza soko la eneo lenu kwa wakati mmoja. Supply inapozidi demand kama ilivyo wakati wa mavuno ya mazao mengine tuyajuayo, bei huanguka...
Ili uweze kuishinda changamoto hii ni aidha uwe na uwezo wa kuzalisha vifaranga wako ili upishane na wenzio(hii ni investment inayojitegemea kwa resources na know how) au ikiwa utachukua vifaranga sawa na wenzio basi uwe na uwezo wa kuchelewesha kuingiza product sokoni mfano unachinja na kuhifadhi(freezing) kisha kuingiza sokoni baadae.
Kwa kuwa hawa players hawana ushindani, wanaweza kuongeza bei kadiri watakavyo lakini small scale farmer akashindwa kwa kuwa supply ipo controlled na kila anapoingiza product sokoni anakuta soko limefurika...maumivu yake ni mateso endelevu kwa small scale farmers(majority).
Watengezaji/wasambazaji wa vyakula
Hawa nao wanadhibiti bei, wanaweza kuichezesha wanavyotaka. Farmers don''t have much choices kwa kuwa suppliers ni wachache na pengine wana cartels za kuchezesha bei.
Conclusion
Hizo key areas mbili kwenye supply chain ndiyo zinawaumiza na kuwamaliza poultry famers walio katika small scale level.
Ili utoboe ni sharti uweze kudhibiti hizo areas mbili: uzalishe chakula chako na uzalishe vifaranga wako. Hayo mawili siyo mepesi kwa wafugaji wadogo wanotafuta pesa ya kujikimu.
Wasalaam.
Ahsante sana comrade wewe ni jembeHao broiler pia ni pasua kichwa...