Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

Wadau humu wamejaa ujuaji lakini me nafuga Hawa kuku na kwa hakika wananineemesha sana kuku wa kienyeji Ana faida nyingi sana ambazo nyie vijana wa mjini hamzijui
 
Hapo nimekupata vizuri sana mkuu
 
Kwa hiyo mkuu ni breed gani rafiki ukiifuga hapo home kibiashara inakulipa, yaani wasitoke nje siku zote ndani tu, ukiachana na layers na broiler?
 
Kwa hiyo mkuu ni breed gani rafiki ukiifuga hapo home kibiashara inakulipa, yaani wasitoke nje siku zote ndani tu, ukiachana na layers na broiler?
kama n tofauti n kuku wa kisasa fuga hao wa kienyeji hila uwe n michongo mingine inaingiza kipato.....hila kwangu kuku kienyeji is for fun, au mtu anataka kujionyesha yeye wa zamani hila hapo hamna biashara...

Nunua cage ata ya kuku 200 layers wakianza kutaga miezi 4 umerudisha gharama zako zote...then unaenjoy maisha

Broiler unatakiwa kuwa n soko la huakika zaidi ya week tano bandani ujue unaikaribia hasara

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nimekufuatilia hoja zako zote ila we we upon biased na kuku wa kisasa kabisa.Kuku wa kienyeji ana soko na faida sana...Inategemea wewe hupo wapi,eneo na unawalisha nini.Mimi natotoresha kwa incubator na chakuka nawalisha pumba kidogo na ugari au wali uliobaki au achwa na wanachuo.....mayai pia napata.Kuku hao wamenijengea nyumba na kununua gari Kruger
 
Duuu masihara hayo kuku wamekujengea nyumba na gari juu unafugaje broo mbona unani inspire au ndo motivation spiker
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anaishi na kuku?
 
Cage ya kuku 200 inaweza kuwa bei gani
 
Duuu masihara hayo kuku wamekujengea nyumba na gari juu unafugaje broo mbona unani inspire au ndo motivation spiker
Wengi tunakosea kwenye kufuga kama kazi ya ziada au kua sio muhimu. Nafanya ufugaji was kuku was kienyeji kama kazi yangu muhumu...kila baada ya miezi mitano lazma nitoe kuku 500 kuuza na mwezi was Dec nauza sio chini ya kuku 1500
 
Inamana hao wa kienyeji unafuga kisasa au wanajitafutia chakula
 
Inamana hao wa kienyeji unafuga kisasa au wanajitafutia chakula
Wakiwa wadogo nawapa chakula cha kisasa mara tatu kwa wiki. Ila wakifikisha mwezi nawapa vyakula vya kawaida na wao kujitafutia. Nabaki kuokota mayai na kuuza pamoja na dawa za magonjwa.
Ngoja nikuwekee picha uone kuku ninao tarajia kuuza siku za Krismas wapo 1800 natarajia kuuza kwa 12000-15000
 
Daaa aise! Natamani kujifuza kupitia kwako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…