Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara

Weka picha bwana
 
Kazi kweli kweli
 
Wapo kwenye banda au wanakula holela nje?
 
Kaka unaweza kushare vipimo ama picha la banda linaloweza kuingiza idadi ya kuku hao. Au mradi wako una mabanda kadhaa?
 
,,, muhimu sana hii
 
Sahihi kabisa......watu hawajali muda wanangalia Quantity tu
 
Kuku wako wakifikisha miezi miwili wananza kutaga? Vipi changamoto ya vicheche na mwewe?
 
Nakuelewa Kaka. Ukifanya Kiuhasibu unaweza kuta unafanya kazi bure....unaishia kuona Banda limejaa kuku 300. Lakini kiuhasibu unakula loss tu.
 
Inategemea na eneo unalofugia kwasababu magonjwa mengi yanatokana na muingiliano na kuku wengine kwenye eneo unalofugia lakini ukiwa umejitenga ni ngumu kushambuliwa na magonjwa mara kwa mara...But all in all mafanikio ni mchakato unahitaji kuwekeza muda zaidi kuliko kuzingatia faida ndani ya muda mfupi na hapo utaona kila unachofqnya haina faida
Nakuelewa Kaka. Ukifanya Kiuhasibu unaweza kuta unafanya kazi bure....unaishia kuona Banda limejaa kuku 300. Lakini kiuhasibu unakula loss tu.
 
Picha iko wapi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…