Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Huu uzi wa zamani lakini nimeupenda sana na ninaanza mwezi huu maelezo yanatosha kbs asante jf pia mtoa manda
 
Habari wajenzi..... Naish Dar es salaam Riverside... Nataka kufuga kuku wa kienyeji (ni mfugaji wa siku nyingi) sasa kwa kua eneo langu finyu, nataka yake MA BANDA (READY MADE) YA KUFUGIA KUKU YA KISASA YALE..... WAPI YANAPATIKANA??
 
kama kipato unacho tembelea mtandao wa alibaba, uagize kutoka U china ni rahisi kuliko bei za hapa nchini na jirani kenya lkn uwe na uwezo wa kuchukua walau kasha moja kubwa
 
Naitaji mayai ya kanga kama 30 aliye naye anicheck P M tufanye biashara
 
Habari, naombeni kujuzwa kuhusu soko la kuku wa kienyeji Dar ukipeleka kuku sokoni ni huwa wanauzwa na madalali au huwa inakuaje? Na swala la malipo lipoje huwa wanalipa hapo hapo au ndio mambo yale ya kulipana nusu nusu? Ushauri kwa wenye uzoefu.
 
Habari, naombeni kujuzwa kuhusu soko la kuku wa kienyeji Dar ukipeleka kuku sokoni ni huwa wanauzwa na madalali au huwa inakuaje? Na swala la malipo lipoje huwa wanalipa hapo hapo au ndio mambo yale ya kulipana nusu nusu? Ushauri kwa wenye uzoefu
 
Au kama kuna sehemu nyingine kuna soko la uhakika kwa anaejua anisaidie.
 
Salam zenu Wadau, naomba kuuliza kuhusu Soko la kuku wa kienyeji... masoko na bei kwa hapa Dar es salaam yakoje?. Shukrani sana.
 
jamani habari zenu!Kubota na wataalamu wengine hivi eka moja kwa ufugaji huria kitaalamu inachukua kuku wangapi?maana nataka niexpand mradi wangu wa kuku niwe na kuku hadi 1000.
 
jamani habari zenu!hivi eka moja kwa ufugaji huria kitaalamu inachukua kuku wangapi?maana nataka niexpand mradi wangu wa kuku
 
jamani habari zenu!hivi eka moja kwa ufugaji huria kitaalamu inachukua kuku wangapi?maana nataka niexpand mradi wangu wa kuku
 
jamani habari zenu!Kubota na wataalamu wengine hivi eka moja kwa ufugaji huria kitaalamu inachukua kuku wangapi?maana nataka niexpand mradi wangu wa kuku niwe na kuku hadi 1000.
Ekari moja kama ni ufugaji huria unapaswa kuweka kuku wa kubwa 400 unahitaji ekari mbili na nusu kama lengo lako ni kufuga kuku 1000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…