Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Nenda kule kwenye thread za kilimo,ufugaji na biashara !!! Utapata mwanzo na elimu nzuri kuanza ufagaji wako.
Tafuta thread ' mpwa Wangu anza hivi''
Au tafuta posta za jamaa anaitwa 'kubota'
 
Kuku wa kienyeji ni almas mkuu, jee almas huwa inakosa soko?
Wiki tatu ago nimenunua kuku wa kienyeji asiyefika ata kilo Moja kwa shs 17,000 hapa Ukonga.
 
Nenda kule kwenye thread za kilimo,ufugaji na biashara !!! Utapata mwanzo na elimu nzuri kuanza ufagaji wako.
Tafuta thread ' mpwa Wangu anza hivi''
Au tafuta posta za jamaa anaitwa 'kubota'
Shukrani mkuu nimekuelewa.
 
Mimi ni kijana niliye hitimu katika shahada ya takwimu... Kwasasa Niko kijijini na nina mpango wa kuanzisha project ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara Zaidi kwa mtaji wa laki nane... Naomba kufaham yafuatayo kupitia jamvi hili maridadi :

$ mambo sahihi na basic ya kuzingatia mwanzo wa mradi

$ uhakika wa soko la kuku(nyama) na mayai hasa kwa miji mikubwa inayozunguka mkoa wa Tanga

NATANGULIZA SHUKRANI
Kuku wakienyeji wanalipa sana ukiwafuga vizuri wateja si wakutafuta
 
Wakuu mm nina swali na linanitatiza sana.hv mayai ya kuku wa kisasa yanatokana na nini?na ni kitu gani kinamfnya kuku awe wa nyama tu??au mayai tuu???
 
Kheri ya sikukuu ya Eid mubarak. Nimejitokeza katika safu hii kwa mara kwanza nikiomba kunipa mchanganuo wa gharama za ufugaji wa kuku. Naomba kujua mahitaji, gharama na faida ambazo ntazipata kwa gharama husika. Natanguliza shukran zangu kwenu mana daima mmekuwa msaada sana kwangu. Eid njema
 
ndg naweza kukudanganya ila hata Mimi kuna watu wanajaribu kunielekeza ila kabla sijaona nitakusaidiaje nijue kuku wapi unataka kufuga na uko wapi?
 
Back
Top Bottom