MILCAH28
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 1,140
- 327
Hongera Baba milcah
Asante bado tunakimbizaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Baba milcah
Shukrani nimekuelewa mkuuDuh ngoja nifikirie wapi soko lipo ila kariakoo huwezi rudi nao nyumbani
Shukrani mkuu nimekuelewa.Nenda kule kwenye thread za kilimo,ufugaji na biashara !!! Utapata mwanzo na elimu nzuri kuanza ufagaji wako.
Tafuta thread ' mpwa Wangu anza hivi''
Au tafuta posta za jamaa anaitwa 'kubota'
Shukrani sana mkuu nmeielewa vyemaZijue Mbinu zangu: Ufugaji Kuku wa Kienyeji @ Thaddeus pitia hiz nyuzi
Kuku wakienyeji wanalipa sana ukiwafuga vizuri wateja si wakutafutaMimi ni kijana niliye hitimu katika shahada ya takwimu... Kwasasa Niko kijijini na nina mpango wa kuanzisha project ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara Zaidi kwa mtaji wa laki nane... Naomba kufaham yafuatayo kupitia jamvi hili maridadi :
$ mambo sahihi na basic ya kuzingatia mwanzo wa mradi
$ uhakika wa soko la kuku(nyama) na mayai hasa kwa miji mikubwa inayozunguka mkoa wa Tanga
NATANGULIZA SHUKRANI
Naomba nitumie na.mm hyo database mkuu..kwenye email hii.[[[[[[[ eliamatemu@gmail.com]]]]Nimependa
Mkuu hiyo database kama uliipata namm naomba mkuu eliamatemu@gmail.comwadau naombeni iyo data base allytulian@outlook.com
Kuku kienyeji wa mayai akitaga,ukaondoa mayai
ataanza kutaga baada ya muda gani tena?