Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waaina gani hao ndugu?Niko Dar hebu Nipm Nina majogoo 10 na wale wanaotaga 20
Kwa dar unapatikana wapi?Kwa wale wanaoitaji kuku wakienyeji mim nawauza.
1:Nauza vifaranga kuanzia cha siku Moja mpaka wk
Tatu.
2: Nauza vifaranga vya kuroila kuanzia siku moja mpaka wk tatu:
3: Nauza vifaranga vya kenbro kuanzia siku moja mpaka wk tatu
4: Nauza vifaranga vya Kuchi kuanzia siku moja mpaka wk tatu.
Shamba liko mkoa wa Tanga na Arusha.
Napatikana kwa number 0762355114
Bei za makundi ya vifaranga ni kiasi gani kwa kila kifarangaKwa wale wanaoitaji kuku wakienyeji mim nawauza.
1:Nauza vifaranga kuanzia cha siku Moja mpaka wk
Tatu.
2: Nauza vifaranga vya kuroila kuanzia siku moja mpaka wk tatu:
3: Nauza vifaranga vya kenbro kuanzia siku moja mpaka wk tatu
4: Nauza vifaranga vya Kuchi kuanzia siku moja mpaka wk tatu.
Shamba liko mkoa wa Tanga na Arusha.
Napatikana kwa number 0762355114
Asante sana kwa maneno yako yanayotia moyo. Kuna wachangiaji walinilalamikia niachane na kuchoma mkaa kutokana na athari zake kwenye mazingira. Kwakuwa nilishajua utamu wa biashara ya mkaa niliamua kutengeneza mkaa kwa kutumia mabua ya mpunga na mabua ya mahindi, kama hujui ingia You Tube Kuna video kibao jinsi unavyotengenezwa.....maisha yanaendeleaHuu uzi ndo ulinifanya nikaijua jamii forum enzi hizo nasearch habari flani kwenye Google ndo nkaikuta hii mada. Nliifuatilia sana ndo badaye nkashawishika kujiunga mana nlikuwa natamani kuchangia ila nashindwa. Nlikwmbia harakati za Kubota alivyokuwa anachambua na kuleza magonjwa ya kuku, kisha anatuacha kwanza anaenda kutizama mkaa wake shambani afu tunamsubiri weeee siku kadhaa ndo anarudi teh teh
Sijawahi kufanya huo utafiti maana huwa nanunua starter mash mfuko mmoja tu kuwalisha kuku mia moja kwa mwezi wa kwanza na kisha hununua growers mash mifuko miwili na huwalisha hao kuku mia kwa mwezi mwingine, baada ya hapo kuku huwa wakubwa huwaachia wakapekue na pia huwatengenezea cha ziada mwenyewehivi nataka kufuga kuku hao wa kienyeji.
mkuu Kubota, wastan kuku mmja kuanzia kifaranga mpaka afikie kuuzwa anaweza kugharimu shingap.
kama chakula nanunua.
Mkuu Soya beans sio maharage ni zao tofauti kabisa ingawa liko jamii moja sawa na maharage, mbaazi na kunde. Soya beans ni maarufu kwa kusheheni protein kuliko mazao mengine jamii ya mikunde. Kwenye kutengeneza vyakula vya kuku source rahisi ya protein huwa ni dagaa. Wataalamu siku hizi badala ya kutumia dagaa wanatumia Soya beans kwa kuwa ina protein nyingi sana kutengenezea chakula cha kuku.Mkuu Kubota
Unavyosema soya beans unamaanisha mazao kama mbaazi na maharagwe au nakosea kaka?
Kama ndivyo inamaanisha nikiwa nalima mahindi na mbaazi sina haja ya kununua chakula cha kuku?
Na chakula hicho ni kwa ajili ya kuku wa kienyeji ama wakisasa
Na kama nikitumia chakula hicho kwa kuku wa kisasa wa mayai(layers) bila kununua chakula chochote kinachotoka viwandani, matokeo yatakuwa mazuri kweli mkuu?
Ahsantee
Kuchi unawauzaje wa umri wa wiki moja?Kwa wale wanaoitaji kuku wakienyeji mim nawauza.
1:Nauza vifaranga kuanzia cha siku Moja mpaka wk
Tatu.
2: Nauza vifaranga vya kuroila kuanzia siku moja mpaka wk tatu:
3: Nauza vifaranga vya kenbro kuanzia siku moja mpaka wk tatu
4: Nauza vifaranga vya Kuchi kuanzia siku moja mpaka wk tatu.
Shamba liko mkoa wa Tanga na Arusha.
Napatikana kwa number 0762355114
Samahani kwa usumbufu ningependa kuhafanmmuu niainagani ya kuku wa mayai ambao hutaga kwaajili ya kutotolesha vifaranga km kibo au interchick na hayo mayai hupatikanaji wake upo vp maana maana nimenunua machine ya kutotoleshea zile kubwa za m 4 Likn bado cjaanza kuitumia bado.0654249906Kwa wale wanaoitaji kuku wakienyeji mim nawauza.
1:Nauza vifaranga kuanzia cha siku Moja mpaka wk
Tatu.
2: Nauza vifaranga vya kuroila kuanzia siku moja mpaka wk tatu:
3: Nauza vifaranga vya kenbro kuanzia siku moja mpaka wk tatu
4: Nauza vifaranga vya Kuchi kuanzia siku moja mpaka wk tatu.
Shamba liko mkoa wa Tanga na Arusha.
Napatikana kwa number 0762355114
Du na mm nitafuga kuku ila inahitaji uthubutu kwani tuliowengi tunaishi na kuku hatufugi kuku