Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake




Nicheki privacy nione nakupaje kampani
 
Upo mkoa gani?
 
Naomba msaada wa kuku aina ya kuroiler kama 100 ntapata wapi? Kuna Uzi unafunguliwa ukiulizwa hupati jibu. Msaada kwa anaejua
 

Soko lipo we uko wapi kwa dar 0787999851
 
Asante sana. Mtalaam, swali langu hivi kama kuku alitotolewa kwa mashine ni kweli huwa haatamii mayai akitaga? nina kuku ambao walitotoleshwa kwa mashine wamekuwa wakitaga ila hawalalii mayai yao.
 
Victor kitomari naomba tuwasiliane Mkuu tuyajenge juu ya ufugaji 0763370175
 
Mtaalam wa ufugaji wa nyama naomba tushare ideas za ufugaji wa kuku wa nyama na namana ya kutafuta soko
 
Wadau naomba msaada wa utaalam wa kufuga kuku wa kienyeji ambao unachukua eneo dogo yaani chumba kidogo kimoja lakini niweze kufuga kuku wengi.

Vilevile masuala ya madawa na namna ya kuwatunza vizuri ili wawe kuku bora wa nyama na mayai, maana hapa Dodoma biashara ya kuku wa kienyeji na mayai inashamiri siku hadi siku.

Naomba msaada wa mwenye uelewa wa masuala haya ya ufugaji kuku wa kienyeji.

Mzee wa Chilonwa, kwa sasa nipo Chamwino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…