Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Pia Banda Liwe linapigwa Dawa Kuku wana Urafiki sana na Viroboto na Utitiri. Viroboto wakizidi sana Hushambulia Watoto hadi kwenye Macho
 
Maisha ya ufugaji yana changamoto nyingi. Kuna kipindi kanga wangu walikuwa hawataki kabisa kuingia bandani usiku wanang'ang'ania kulala uani tu. Alitokea ndege wa ajabu sana ambaye alikuwa anakuja usiku tu na kukamata kanga wakubwa kabisa. Nilitafuta ushauri kwa wafugaji wenzangu na walishangaa sana huyo ndege wa kukamata kanga wakubwa ambao kwa kawaida wana nguvu sana hata wanapokamatwa na binadamu na pia waliongezea kuwa hakuna nje ya Bundi ndege mwenye kuona usiku na bundi hana uwezo wa kukamata kanga wakubwa akaondoka naye. Siku moja alinitembelea rafiki yangu na huyo ndege akaja kama kawaida akachukua akaenda zake na mgeni alikuwa anatoka msalani akamwona live anachukuliwa. Alinishauli nitafute maji ya baraka kutoka makanisani niwakamate kanga wote niwafungie bandani nichukue tawi la mti niwanyunyizie kanga hayo maji na yatakayobaki niwachanganyie kwenye maji ya kunywa. Tangu siku niliyofanya hivyo mchezo huo ukakoma mpaka leo zaidi ya miaka mitano sasa.
 
Kwa hiyo jamaa nae akapige ndumba ili amkamate huyo ndege?[emoji213] [emoji213]
 
Mkuu mimi nataka nianze kufuga kanga hivi naweza kuwa nawachanganya na kuku kwenye banda moja?
 
Mkuu ufugaji wako unategemea chakula cha kununua au umewacha wazurure tu
 
Mkuu ufugaji wako unategemea chakula cha kununua au umewacha wazurure tu
Mkuu Nikikaribia Kuwauza Ndo Wanatiwa Bandani Hapo wakikaa Wiki Mbili wanakua wazito balaaa Tofauti ya Kuku anayezurura na walioko ndani ni Uzito na Ndo raha ya Kufuga Kuku wa Kienyeji kama huna Pesa unawaachia wanajitafutia.
 
dawa ya vifaranga kushusha mabawa na. macho kuvumba na mwishoe vifaranga kufa nimejaribu chanjo lakini wapi sijatotoleza muda sasa.
 
Mkuu Nikikaribia Kuwauza Ndo Wanatiwa Bandani Hapo wakikaa Wiki Mbili wanakua wazito balaaa Tofauti ya Kuku anayezurura na walioko ndani ni Uzito na Ndo raha ya Kufuga Kuku wa Kienyeji kama huna Pesa unawaachia wanajitafutia.
Asante mkuu lakini mbona inasemekana soko lake nigumu wewe unawauzia wapi pia unafugia wapi
 
Mshirikina wewe,pumbavu.
 
Aseee hongera kiongozi ......hivi kuku wako wameshawai kutokwa na vidonda vya usoni vile? Na ulitumia dawa gan maana naona wangu wanaanza kuzingua
Mkuu binafsi imewahi kutokea, ninachofanya ni kuwakwangua yale mauvimbe
kisha nawasafisha kwa HYDROGEN PEROXIDE baada ya hapo natumia
IODINE pia niliambiwa unaweza kutumia dawa ina itwa Jivii
 
Mimi nafuga ila changamoto ni vifo nipe njia unayotumia hadi kufikisha idadi hiyo
Nimepitia changamoto nyingi sana mkuu, kikubwa nilichogundua
kuku wanahitaji usafi sana. Pia usishu kutumia dawa za asili
mara kwa mara.
 
Ok, Sijui hii ya kuwapaka rangi.
Hapana.
Funga miti kisha tafuta nyaya za matairi ya gari zifunge hovyo hovyo kukatiza juu,ikiwezekana ziwekee vitambaa na vipande vya makopo
Na pia ndani ya eneo weka vitu vitavyozuia movement ya ukwapuaji
 
Mkuu hongera watu wakikuona kwenye siasa wanakuona mlugaluga kama wao. Kumbe sivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…