Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Wakuu, nimeanza tena ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mara hii natumia mfumo
wa NUSU HURIA nimeanza na kuku 15 mwaka Jana mpaka sasa wako 369
Nimeuza kuku 271 kwa bei za kati ya Tsh 17,000 mpaka 23,000 namshukuru
Mungu nimeweza kupunguza ukata.

Mwakahuu kuna ttizo kubwa limejitokeza nashindwa jinsi ya kulikabili, Kuna ndege
Mdogo kwa umbo anafanana sana na njiwa, anakamata vifaranga balaa. Tena
anakamata wale vifaranga wakubwa ambao wanajitegemea. Ndani ya wiki mbili
hizi amekamata vifaranga 18.

Sijajua jinsi ya kumdhibiti yaani huyu mshenzi ananipa hasira si mchezo.
Wajengee banda ambalo litawafanya wasizurule hiyo itakusaidia. ...naamini hao kuku uliouza wamekuingizia pesa ambazo utaweza kulijenga hilo banda bila shda......mm pia nafuga walikua wanaibwa sana nimeamua kuwajengea banda kwahyo mda wote wanacheza humo kaz ni kuwanunulia chakula tu basi.......nakutakia kila la kheri
 
Huyo anaitwa Kipanga au Mwewe kumdhibiti ni Kazi kwani huwa ana spidi kubwa kuliko ya Ndege wa Kawaida ana spidi ya Ndege za kivita zile ambazo hazina Rubani Cha msingi ni Kuwafugia Bandani tuu.
 
mimi nilikuwa na changamoto ya kuibiwa kuku mama watoto akaenda kwa mtaalam mwizi alipatikana kesho yake baada ya kuiba jogoo kubwa nakulila na mkewe. Jamaa alijileta mwenyewe akiwa anaumwa tumbo balaa na mke wake huku jogoo akiwika mfululizo tumboni alitaja mwenyewe kila alichoiba kwangu na kwa majirani. Alitozwa faini ya ng'ombe sita kama fidia kwangu na majirani ng'ombe moja wakachinja nyama. Tangu siku hiyo mambo swali kabisa , mwaka huu hata shamba la mahindi sikuweka mlinzi. Kumbe duniani kuna ulinzi asilia sikuwa naamini.
 
Aseee hongera kiongozi ......hivi kuku wako wameshawai kutokwa na vidonda vya usoni vile? Na ulitumia dawa gan maana naona wangu wanaanza kuzingua
 
Wakuu, nimeanza tena ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mara hii natumia mfumo
wa NUSU HURIA nimeanza na kuku 15 mwaka Jana mpaka sasa wako 369
Nimeuza kuku 271 kwa bei za kati ya Tsh 17,000 mpaka 23,000 namshukuru
Mungu nimeweza kupunguza ukata.

Mwakahuu kuna ttizo kubwa limejitokeza nashindwa jinsi ya kulikabili, Kuna ndege
Mdogo kwa umbo anafanana sana na njiwa, anakamata vifaranga balaa. Tena
anakamata wale vifaranga wakubwa ambao wanajitegemea. Ndani ya wiki mbili
hizi amekamata vifaranga 18.

Sijajua jinsi ya kumdhibiti yaani huyu mshenzi ananipa hasira si mchezo.
Kipanga huyo ni hatari sana
 
Mimi nafuga ila changamoto ni vifo nipe njia unayotumia hadi kufikisha idadi hiyo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Aseee hongera kiongozi ......hivi kuku wako wameshawai kutokwa na vidonda vya usoni vile? Na ulitumia dawa gan maana naona wangu wanaanza kuzingua
vidonda huo ni ugonjwa unaitwa ndui na una chanjo yake unatakiwa kuwachanja hao kuku kabla hawaugua na wakiugua tumia iodine kuwapaka baada ya kuwasafisha vidonda, kwa sasa kuna dawa ya tiba pia hebu muone mtaalam alie karibu nawe. Kwa upande wa kuku chanjo ni muhimu sana na pia usikose kufanya kazi kwa karibu na wataalam wa mifugo.
 
Huyo anaitwa Kipanga au Mwewe kumdhibiti ni Kazi kwani huwa ana spidi kubwa kuliko ya Ndege wa Kawaida ana spidi ya Ndege za kivita zile ambazo hazina Rubani Cha msingi ni Kuwafugia Bandani tuu.
Anaitwa kipanga kaka
Mwewe ni Mkubwa zaidi ya kipanga
 
Huyo anaitwa Kipanga au Mwewe kumdhibiti ni Kazi kwani huwa ana spidi kubwa kuliko ya Ndege wa Kawaida ana spidi ya Ndege za kivita zile ambazo hazina Rubani Cha msingi ni Kuwafugia Bandani tuu.
Ni kipanga kaka
Mwewe ni mkubwa zaidi kuliko huyo kipanga
 
vidonda huo ni ugonjwa unaitwa ndui na una chanjo yake unatakiwa kuwachanja hao kuku kabla hawaugua na wakiugua tumia iodine kuwapaka baada ya kuwasafisha vidonda, kwa sasa kuna dawa ya tiba pia hebu muone mtaalam alie karibu nawe. Kwa upande wa kuku chanjo ni muhimu sana na pia usikose kufanya kazi kwa karibu na wataalam wa mifugo.
Asante kwa ushauri hii iodine mpk niende maduka ya mifugo au hata duka la dawa za kawaida naweza pata
 
Shida nyingine ya kipanga anakumbukumbu nzuri atarithisha mpaka wajukuu zake hilo chimbo lake pia ana fanya survailance akiwa juu sana hata mita mia nne sasa akiset target anakuja kwa speed ya f-15 kifaranga hakina nafasi ya kuokoka.
In short kipanga no cheetah wa angani njiwa mtaalam wa mnouvering akiwa sehemu haina kona kona akikutana na kipanga huliwa huko huko juu kwa juu! Escape tactic yake ni kutoka nduki usawa wa ukuta the anapiga turn ya kasi kipanga anaokotwa kule kapasuka kichwa au kavunjika shingo!
 
iko maduka ya
madawa. Nunua ya unga halafu utakuwa unazimua kidogo kidogo kila unapohitaji.
 
upload_2017-5-18_14-47-27.jpeg
upload_2017-5-18_14-47-41.jpeg

Huyo anaitwa Kipanga au Mwewe kumdhibiti ni Kazi kwani huwa ana spidi kubwa kuliko ya Ndege wa Kawaida ana spidi ya Ndege za kivita zile ambazo hazina Rubani Cha msingi ni Kuwafugia Bandani tuu.

Dawa yao ni hii hapa mkuu

upload_2017-5-18_14-44-58.jpeg
upload_2017-5-18_14-45-25.jpeg
upload_2017-5-18_14-45-13.jpeg
 
Mimi nafuga ila changamoto ni vifo nipe njia unayotumia hadi kufikisha idadi hiyo
Easy Sana Tatizo la Kuku wa Kienyeji dawa Zake ni Bei Rahisi Sana Kuna Dawa Mbili tuu za Kuku wa Kienyeji na Watoto hufa kwa tumbo au Minyoo Dalili zake unakuta mabawa kama kimevaa Koti halafu kinalia sana.

Mimi huwatenga na Mama yao baada ya Siku Saba. Vinaanza Kujitegemea mama yao anaanza Kufukuzwa na Majogoo ndani ya Wiki Mbili anaanza Kutaga tena.

-Nenda Ulizia Dawa Minyoo/tumbo Dawa hii ni Nyeupe Ukichanganya na Maji itakua na Rangi kama ya Mkojo Kisha Wape Wanywe ikilala Massa 24 huwa ni [HASHTAG]#Sumu[/HASHTAG] so Unabadilisha Maji Kila Baada ya Masaa 8. Pia Kuna Dawa ya Matone hii Ni Chanzo ya Kideli.

Mkuu Ukishawapa hiyo Utaviona Vikuku Jinsi vinavyochangamka hasa Ukivitupia Chenga chenga za Dagaaaa yaani Utavipenda Vinakula kwa Kupigana

Pia Control Majogoo wasiwe Wengi sana Mara Nyingi ile Panda Panda husababisha majike wasitage au kusababisha Magonjwa Jogoo inatakiwa wawe wachache

Wako.
Troll JF
Mkulima na Mfugaj.
 
Back
Top Bottom