Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Naomba kujuzwa utaratibu wa chanjo kwa vifaranga vya kuku wa kienyeji yaani inaanza ipi na kumalizia na ipi!msaada tafadhali napokea vifaranga hv karibuni vya kienyeji
 
bado jibu linasubiriwa, ila nasikiaga mayai masafi yasiwe machafu
 
bado jibu linasubiriwa, ila nasikiaga mayai masafi yasiwe machafu
Yawe masafi...yawe na mbegu(jogoo mmoja apande majike yasizidi kumi)...umbo la wastani si kubwa kupitiliza wala sio dogo kabisa!!
 
Fuata masharti yote muhimu ya ufugaji wa kisasa baada ya Mwaka utayaona matunda yake
 
kiota weka maranda, yote yanatotolewa
 
Hili somo ni zuri sana,kesho ntaendelea kulipitia taratibu
 
[emoji106]
 
Mimi nimeanza na vifaranga, 80 vya kuroiler na 10 pure kienyeji wamenivutia nimeagiza wengine kuroiler 200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…