Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake


Ungenunua pumba nyingi ukamix na mashudu kidg plus multivitamins . ...kuku kienyeji sio kwa biashara aisee..
 
Ungenunua pumba nyingi ukamix na mashudu kidg plus multivitamins . ...kuku kienyeji sio kwa biashara aisee..
Hayo yote nimefanya, pumba nilianza nanunua kwa bei ya sh. 300@kg sasa pumba ni 400 hadi 420shs, mashudu pia premix niliweka....kumbuka hapa kwangu hapajawa na msongamano wa watu hivyo kama sio msimu wa kilimo nilikuwa nawaacha wajitafutie chakula...ila wanakula hao! kibaya zaidi kuku wa kieneyji utagaji wao sijuhi unategemea nini maana leo atage apitishe siku mbili, mwingine akitaga mayai 5 anataka kuatamia...nikasema nifuge chotara jamaa yangu akasema nao wa ankula na ubaya wao mayai yao watu wanayachukulia kama ni ya kisasa!
 
Watu wengi hapa naona ni bendera fata upepo sooooo negative nna uwakika 99% ata kufuga hawajawahi ama iyo elimu tu ya ufugaji hawana siku wazee kuna chanjo za ayo maradhi ukiwa serious kuku mbn unatoboa tu, maradhi yatakayosumbua ni ya kawaida tu ambayo yanatibika poa tu, njoeni field mpambane acheni uwoga kila kazi ina changamoto zake muhimu ni kujifunza kupambana kukomaa na kuwa serious, si unajua unachotaka basi kila sekunde ishi hiyo sababu eroo
 
Motivational soeakers bana.
 
Kwa hiyo ilikuwaje?
 
Kwa hiyo ilikuwaje?
Asubuhi walinipigia simu tuonane sehemu nyingine nje ya ofisi ya kata nilipofika wakataka niwapoze ili issue ife pale nisifikishwe ofisini wakanihakikishia kuwa nikifika kule ni faini tu hakuna maelezo nikagoma kutoa hata mia wakampigia simu bibi afya wakaniambia niende kwake wao wakasepa.

Nikaenda kwa bibi afya ni mdada wa makamo kidogo na ni muungwana kweli kweli alinipa elimu nzuri ni namna gani naweza kufuga bila usumbufu especially kwenye kuhifadhi mbolea na hapo alitilia mkazo sana kuhusu tetanus.
Baada ya kuongea mambo mawili matatu tukagundua kuwa tumekulia sehemu moja na mama yake aliwahi kufanya kazi na baba yangu kabla hajahamishwa kwenye miaka ya 90 basi kesi ikaishia hapo hapo nikaondoka kuendelea na ujenzi wa taifa.
 
Hukumueleza habari za wale WAPUUZI?
 
Nikodishie hayo mabanda au tuingie ubia tufanye kazi
0718151415
 
Hizi mada ni tamu mnooo zikiwa kwenye maandiko kama hivi yani utajiri unauona nje nje...
 
Kuku was kienyeji so mchezo kwenye ufugaji,fuga 3 tu uone mtiti wake,wakianza taga,huyu anataga hapa akimaliza na mwenzie anataga kwenye mayai ya mwenzie.
 
Ingekuwaga rahisi hivi mimi ningetajirika toka niko primary. Niliendaga fresh nikafikisha kuku 50+
Kilichokuja kutokea ni hadithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…