Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Habari ndugu na marafiki jama mimi nahitaji kuuza kufuga kuku ningependa kujua kuku niwajengee banda la haina gani ili waweze kukua na kuwa wengi.
 
**KARIBU UJIPATIE VIFARANGA AINA YA SASSO.**
**WEKA ORDER YAKO SASA**

MAWASILIANO :0672186097
+255788375791
+255718207706
 
Nimenunua kuku wa kienyeji, nilipowapata si salama sana. Nimewapa chanjo ya kideri ya kidonge, je inachukua muda wa siku ngapi kujua kama kuku hao ni salama au la? Karibu kwa maoni kadiri ya uzoefu wako.
 
Tuwekee picha zenye uhalisia za kuku unaofuga wewe siyo za kudownload kutoka mitandaoni.
 
Nataka ya mayai kuanzia 2000. Bei gani
 
Hii 6M ni kuanzia ujenzi, kununua vifaranga na kuvilea mpaka kutaga (miezi 6), chakula n.k. ama? kama ikiwa hivyo nitumie hiyo database
il
 
Shukrani chief, Mungu akubariki kwa elimu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa elimu kwanza kama mkuu Gazeti alivyofanya, yy hata akisema tumtafute tutamtafuta kwakuwa shule yake wengi wameielewa, sasa ww unaandika andika tu alafu mwisho tukutafute ili iweje? Tushawishi kwanza kama chief GAZETI hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…