Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

ni aina gani hiyo ya kuku mkuu unaofuga???
 
NAUZA BIASHARA YA CAR WASH:

LOCATION: KINONDONI BLOCK 41
NAMBA YA SIMU: 0717 26 33 77

MAELEZO:

MACHINE ZOTE, UJENZI, VYOMBO, SIMTANK, KODI n.k JUMLA: TZS 7,000,000
NIMEBAHATIKA KUPATA KAZI SERIKALINI NA KITUO CHANGU KIKO MKOANI, SO NIMEAMUA KUUZA HII BIASHARA.
 
Mkuu kama una uhakika inalipa mwachie ndugu yako kwa makubaliano akulipe huku anaiendesha na Mungu atakubaliki
 
Naomba kujua nimeambiwa na mtu kuwa Muheza Tanga huwa kunakua na gulio la kuku wa kienyeji Kila jumapili, ni kweli ?
mana nataka kuchukua wengi kwa ajili ya biashara
 
Sasa mkuu hapo kuna hela ya ujenzi na hela ya kodi tena??
 
Naomba kujua nimeambiwa na mtu kuwa Muheza Tanga huwa kunakua na gulio la kuku wa kienyeji Kila jumapili, ni kweli ?
mana nataka kuchukua wengi kwa ajili ya biashara
Umejipangaje na changamoto ya ugonjwa wa kideri? Wakati mwingine kuku wanaopelekwa midani wanakua wameugua kideri ila syo wote hivyo kua makini.
 
Naomba kujua nimeambiwa na mtu kuwa Muheza Tanga huwa kunakua na gulio la kuku wa kienyeji Kila jumapili, ni kweli ?
mana nataka kuchukua wengi kwa ajili ya biashara
Ni vyema ukanunua majira ya baridi kwani kuna hatari ndogo ya kideri
 
Habari nimevutiwa na uzi huu, ila ningependa kujua gharama ya uendeshaji kutoka vifaranga mpaka kuanza kutaga (kununua vifaranga+chakula na madawa) na pia gharama za maandalizi ya banda?
 
Nimekua mfugaji wa kuku wa kienyeji na katika upande wanamna ya kuwafuga nimeona kuwafuga kwa kuwaachia ni nzuri zaidi na in matokeo mazuri sana kuliko kuwa kuwafungia muda wote kama wakisasa na nimefanya aina zote za ufugaji lakini iliyo leta matokeo chanya ni ile ya kuwaachia huru wakajitafutie.
 
IInate
Mhh
 
Nanunua mayai ya layer direct kutoka kwa mfugaji trey 100+ kwa week
Nichek 0783147529
Usiwe mbali na dar
 
Mkuu naomba kuuliza hiv kuku wa kienyeji baada ya kutaga uchukua muda gani kuanza kulalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…