Nakushauri ufuge wa kisasa - Layers. wa kienyeji it takes time na faida si kubwa vile unavyodhani - nitafute nikupe ushauri wa bure - meanwhile angalia kazi hii hapa
Hawa wako 900, wanatoa Tray 24 kila siku kila Tray 5000- Chakula chao ni kilo 125 approx Tshs 55,000/-
Mtaji wa kuanzia unahitaji kuwa na not less than 6m before you start production. Kama unataka mchakato mzima sema nitakutumia database yangu.
Mkuu nitumie details hizo katika lemikov@gmail.com nazihitaji sana
Kubota, Tutor B, Mama Joe, Zipuwawa na wadau wa uzi huu wa ufugaji kuku wa kienyeji, uzi huu ulinishawishi kuanza ufugaji. Nilianza na kuku watatu kwa majaribio, jogoo 1, matetea 2. Baadae nikaongeza jogoo 2 na matetea 9. Hivi sasa nina kuku 32 wakubwa, 16 umri wa miezi 3, 16 umri wa miezi 2, 25 umri wa mwezi 1 na vifaranga 12 vya umri wa siku 5.
Sasa kuna ugonjwa umekamata kuku 2 wa umri wa miezi miwili ambao sijajua kama ni ndui au coryza au uvimbe tu. Naomba msaada wa mawazo tafadhali kwamba huu ni ugonjwa gani na niukabili vipi kabla sijaenda kumwona doctor wa mifugo. Picha inayoonyesha ugonjwa wa mmoja wa kuku hao nimei-attach. Asanteni sana.
Swali, ugonjwa wa ndui kwa english do unaitwaje?
Thanks
wakuu pia kuna website hii :Cheap Nike Free Run Online - Nike Air Max Wholesale Australia au Home ina mabo mengi sana kuhusu ufugaji wa kuku na wanyama wengineo unaweza download vitabu vyao buree pdf format!!!!
Hiyo itakuwa ndui cha muhimu walivimba sehemu za usoni hao chukua sabuni ya deto na usugue vidonda hivyo kia siku ili uweze kuwa nafuu ya kupumua kisha watenge walioadthirika ili wasiendelee kuambukizana na mwisho wakisha pona wachanje kwa kuwachoma sindano ya ndui ili kuwaimarisha kinga za mwili. pole sana ufugaji ni kuvumilia kwani maadui ni wengi kama magonjwa wizi nk ila usikate tamaaKubota, Tutor B, Mama Joe, Zipuwawa na wadau wa uzi huu wa ufugaji kuku wa kienyeji, uzi huu ulinishawishi kuanza ufugaji. Nilianza na kuku watatu kwa majaribio, jogoo 1, matetea 2. Baadae nikaongeza jogoo 2 na matetea 9. Hivi sasa nina kuku 32 wakubwa, 16 umri wa miezi 3, 16 umri wa miezi 2, 25 umri wa mwezi 1 na vifaranga 12 vya umri wa siku 5.
Sasa kuna ugonjwa umekamata kuku 2 wa umri wa miezi miwili ambao sijajua kama ni ndui au coryza au uvimbe tu. Naomba msaada wa mawazo tafadhali kwamba huu ni ugonjwa gani na niukabili vipi kabla sijaenda kumwona doctor wa mifugo. Picha inayoonyesha ugonjwa wa mmoja wa kuku hao nimei-attach. Asanteni sana.
mkuu na mi nitumie hiyo data base hapa.... martin.mathew12@yahoo.com ntashukuru sana
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc.
By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila natarajia kuongeza kuku within a week, projections ni kuwa na kuku 1,000, hapo ndio nianze kuuza, matarajio yangu ni kuuza via interent - hapa nalenga watu wa DAR, ambao wako bize, I can do delivery maofisini within city center, na baadae kuweka vituo vya kufanya pickup wakati watu wanarudi home jioni, e.g Mwenge Junction, Morocco Petrol Station, etc. Malipo via M-Pesa, SMS banking pia na mahoteli.
Sitarajii faida ya haraka, naomba ushauri kwa wale walifanya biashara hii, au wanajua mtu wa karibu aliyeifanya.
Mkuu nitumie details hizo katika lemikov@gmail.com nazihitaji sana