Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Nakushauri ufuge wa kisasa - Layers. wa kienyeji it takes time na faida si kubwa vile unavyodhani - nitafute nikupe ushauri wa bure - meanwhile angalia kazi hii hapa

attachment.php

Hawa wako 900, wanatoa Tray 24 kila siku kila Tray 5000- Chakula chao ni kilo 125 approx Tshs 55,000/-

Mtaji wa kuanzia unahitaji kuwa na not less than 6m before you start production. Kama unataka mchakato mzima sema nitakutumia database yangu.

Mkuu nitumie details hizo katika lemikov@gmail.com nazihitaji sana
 
Kubota, Tutor B, Mama Joe, Zipuwawa na wadau wa uzi huu wa ufugaji kuku wa kienyeji, uzi huu ulinishawishi kuanza ufugaji. Nilianza na kuku watatu kwa majaribio, jogoo 1, matetea 2. Baadae nikaongeza jogoo 2 na matetea 9. Hivi sasa nina kuku 32 wakubwa, 16 umri wa miezi 3, 16 umri wa miezi 2, 25 umri wa mwezi 1 na vifaranga 12 vya umri wa siku 5.

Sasa kuna ugonjwa umekamata kuku 2 wa umri wa miezi miwili ambao sijajua kama ni ndui au coryza au uvimbe tu. Naomba msaada wa mawazo tafadhali kwamba huu ni ugonjwa gani na niukabili vipi kabla sijaenda kumwona doctor wa mifugo. Picha inayoonyesha ugonjwa wa mmoja wa kuku hao nimei-attach. Asanteni sana.
 
Attachments

  • Picture 001.jpg
    Picture 001.jpg
    863.7 KB · Views: 562
Last edited by a moderator:
Ahsante... somo limekuja katika muda mwafaka nikiwa nakaribia kujitosa upya kwenye ufugaji kuku wa kienyeji..ubarikiwe sana
 
Mkuu snochet asante sana kwa hili somo maana umetoa kila kitu na kwa kirefu sana kwa sisi ambao tunataka tuingie kwenye sekta ya kilimo na ufugaji
Asante sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kufuga, huu ni ugonjwa wa ndui kama sikosei. Uk 12 Kubota ameulezea na tiba zake yaani mafuta ya alizeti. Mimi walinipa antibiotic na kwenye vidonda unawapaka tu mafuta. Kwavile unaambukiza watenge wagonjwa lakini nakushauri usijaribu kuwapa chanjo maana ugonjwa umeishingia walio dhaifu wataumwa wengine hawataonyesha dalili yoyote. Wahi dawa
Kubota, Tutor B, Mama Joe, Zipuwawa na wadau wa uzi huu wa ufugaji kuku wa kienyeji, uzi huu ulinishawishi kuanza ufugaji. Nilianza na kuku watatu kwa majaribio, jogoo 1, matetea 2. Baadae nikaongeza jogoo 2 na matetea 9. Hivi sasa nina kuku 32 wakubwa, 16 umri wa miezi 3, 16 umri wa miezi 2, 25 umri wa mwezi 1 na vifaranga 12 vya umri wa siku 5.

Sasa kuna ugonjwa umekamata kuku 2 wa umri wa miezi miwili ambao sijajua kama ni ndui au coryza au uvimbe tu. Naomba msaada wa mawazo tafadhali kwamba huu ni ugonjwa gani na niukabili vipi kabla sijaenda kumwona doctor wa mifugo. Picha inayoonyesha ugonjwa wa mmoja wa kuku hao nimei-attach. Asanteni sana.
 
Last edited by a moderator:
Kubota, Tutor B, Mama Joe, Zipuwawa na wadau wa uzi huu wa ufugaji kuku wa kienyeji, uzi huu ulinishawishi kuanza ufugaji. Nilianza na kuku watatu kwa majaribio, jogoo 1, matetea 2. Baadae nikaongeza jogoo 2 na matetea 9. Hivi sasa nina kuku 32 wakubwa, 16 umri wa miezi 3, 16 umri wa miezi 2, 25 umri wa mwezi 1 na vifaranga 12 vya umri wa siku 5.

Sasa kuna ugonjwa umekamata kuku 2 wa umri wa miezi miwili ambao sijajua kama ni ndui au coryza au uvimbe tu. Naomba msaada wa mawazo tafadhali kwamba huu ni ugonjwa gani na niukabili vipi kabla sijaenda kumwona doctor wa mifugo. Picha inayoonyesha ugonjwa wa mmoja wa kuku hao nimei-attach. Asanteni sana.
Hiyo itakuwa ndui cha muhimu walivimba sehemu za usoni hao chukua sabuni ya deto na usugue vidonda hivyo kia siku ili uweze kuwa nafuu ya kupumua kisha watenge walioadthirika ili wasiendelee kuambukizana na mwisho wakisha pona wachanje kwa kuwachoma sindano ya ndui ili kuwaimarisha kinga za mwili. pole sana ufugaji ni kuvumilia kwani maadui ni wengi kama magonjwa wizi nk ila usikate tamaa
 
Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje.

Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc.

By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila natarajia kuongeza kuku within a week, projections ni kuwa na kuku 1,000, hapo ndio nianze kuuza, matarajio yangu ni kuuza via interent - hapa nalenga watu wa DAR, ambao wako bize, I can do delivery maofisini within city center, na baadae kuweka vituo vya kufanya pickup wakati watu wanarudi home jioni, e.g Mwenge Junction, Morocco Petrol Station, etc. Malipo via M-Pesa, SMS banking pia na mahoteli.

Sitarajii faida ya haraka, naomba ushauri kwa wale walifanya biashara hii, au wanajua mtu wa karibu aliyeifanya.

Umefikia wapi Mkuu.
 
Kwa wale wanaohitaji vifaranga vya kuku wa kienyeji wanaojulikana kama chotara ... wasiliana kwa namba 0787 930430 -- Lucy

Karibuni
 
Back
Top Bottom