Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Wapo we ye busara na ukarimu mkubwa wa kufundisha wengine.Nina furaha kuwa sehemu ya wadau wa jf.Ushauri wangu kwa wakosoaji na wauliza maswali.Chochote unachosoma ama kujifunza usinukuu kama kilivyo(copy and paste) .Jambo muhimu na la maana kubwa ni wazo. Watu wanauliza gharama je? Ardhi inapatokana wapi? Bei gani? Soko likoje? Maswali haya yanatakiwa kujibiwa na anayetaka kutenda na kunufaika.JF nimeipenda mno
 
Mkuu, swali langu kwenye chakula. Mahindi yanatakiwa yaweje? Make umesema mahindi afu ukanyamaza...
 
ni zipi chanjo muhimu kwa kuku kuanzia kifaranga cha siku moja na kuendelea.

Nataka kujiunga na ufugaji wa kuku wa kienyeji je kwa muda wa miezi saba ambao ndio nitauza kuku hii itanilipa (ukizingatia chanjo, chakula nk)
 
shukrani sana tukipata watu 20 kama wewe hatutalalamika umaskini tena. Mambo kama haya ni dadra kuyapata humu.
 
shukrani sana tukipata watu 20 kama wewe hatutalalamika umaskini tena. Mambo kama haya ni nadra kuyapata humu.
 

mm natoa ofa kwa yyt atakae kuwa tayari amefuga na amefikia hatua ya kuuza anione.
 
Jamani nisaidieni kupata mfugaji anaeuza mayai ya kuku wa kienyeji..ninahitaji mayai urgently...tray20 tu kila wiki..pls yeyote anaeweza kuniunganisha na mtu huyo...

vifaranga wa bata mzinga wanauzwa mbeya bei poa karibuni.
 

imekaa poa sana nunua kuku wa miez mi4 wawe 20 au zaid anza nao importnt n kuwa na captal ya chakula bs umeuaaa.
 

Hatimaye kuku wangu wamefika, nimepata changamoto ya kuwasafirisha nikajuta kuwanunua huko mbali..

Naomba ushauri au mifano ya jinsi ya kutengeneza partition kwa ajili ya kuku wanaoatamia na vifaranga.

Je ukiwapatia kuku chanjo mathalani ya kideri kabla ya ile interval inayotakiwa kuna madhara!

Natanguliza shukrani.
 

Attachments

  • 1407829593606.jpg
    125.2 KB · Views: 591
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…