Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Habari wana JF. Naomba kupata ushauri, Je nipo sahihi nikinunua kuku walio fugwa katika mazingira ya kawaida(Huria) bila kuchanjwa alafu nikaanza kuwachanja chanjo zote (ukubwani).

Na niaanza kuwafua tofauti na walivyo zoea(Bandani).

Je hawata sumbuliwa na magonjwa kama nitazingatia safi na lishe.

Natanguliza Shukrani
 

hakuna tatzo we fanya ivo tena vzuri zaidi.
 

Shukran sana mkuu...
 
Duh wadau nimejifunza mengi sana,shukran kwa wote walionipa tips za ufugaji,nipo singida ila nimeenda sokon wauzaji wakaniambia kuku wote wanaowauza pale wana kideri kwa sabab msmu huu ni wa kideri kwa hiyo nisubir mpaka mvua ya kwanza idondoke ndo kideri kitakatika,kwa hyo nasubir wadau mpaka mwez wa 12 au wa 1 nikianza kufuga nitawapa feedback
 

pitia post ya GAZET utapata mengi sana kuhusu kuku wakienyeji post hiyo ni ya kwanza ukiingia kwenye jamvi la ujasiliamali
 
Mkuu am very interested kwa kweli.. na nina mtaji kama wa 10mil ivi. nitashukuru sana kwa msaada wako. napatikana kwa 0652590519.
 
Pia kuna Dawa y kienyeji kwa huku kwetu inajulikana kama Alizeti Pori ni dawa nzur sana kwa kuku wa kienyeji
 
Me naomba unsaidie kama nahitaji kulea vfaranga me mwenyewe. Je nfanye nn ili wapite wote?
 
Wadau ninao kuku 87. Majogoo 33. Na mitetea 54. Natafuta soko Dar. Aliyeserious ani private. Kuku wako mbagala but we arrange for transport kama unahitaji. Ni p.m tufanye biashara. Pls kama si mnunuzi usifanye masihara just passby comment yangu. Waachie wanunuaji.
 
Sijajua watanzania wana shida gani kwenye akili zao kwani mtu akileta wazo la biashara lazima ulifanyie kazi?Kama hulipendi si uliache ......wengine wanakandia kwamba huwezi tajirika kwa kuku wengine oh mbona Bakhresa hakutajirika kwa kuuza kuku....Je ,unataka na sisi tuuze unga na Ice cream ili tuwe matajiri kama Bakhresa?acheni ubwege...Je,Manji,Mengi,Honest Ngowi,Sabodo,Mafuruki au Rostam wanafanya biashara zinazofanana?...biashara inategemea na jinsi ulivyojipanga kukabiliana na changamoto na jinsi unavyozidi kuifahamu eti unasema ina changamoto nyingi sana....Biashara sio sawa na yale matheory na matakataka tuliyofundishwa darasani....Tafuta mfanyabiashara yeyote uone kama alipoanza alifanikiwa tu straightly na ghafla akafanikiwa....shule kwa kiasi Fulani zimewaharibu sana yaani mnataka vitu perfect,rahisi na visivyo na changamoto nataka kuwaambia hakuna kitu kama hicho kwenye biashara....watu wanafanikiwa kwa njia tofauti si lazima wote tufanye biashara anayofanya fulani ndo tutafanikiwa.....ulimwengu wa biashara una changamoto zake na kama hutaki kukabiliana nenda katafute kazi ukaajiriwe maana ulimwengu wa biashara sio laini kama mnavyotaka ninyi...mtabaki hapo hapo kufanya analysis na kukosoa wakati wenzenu wanasonga mbele na kufanikiwa...hongera mkuu kwa wazo zuri MUNGU akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…