Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Asante sana kwa elimu nzuri sana. Uliyo yaandika mimi na kubaliana nayo sana. Mimi nilianza na ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler) ila sasa nina fuga na kutotolesha kuku wa kienyeji aina ya Malay. Wengi wanawafananisha na kuchi kwakuwa niwakubwa na wanakuwa na nyama nyingi.

Karibu kwa anayetaka viaranga.

Karibuni SuDeKi Poultry.
sudeki.co.tz
 
Asante sana kwa elimu nzuri sana. Uliyo yaandika mimi na kubaliana nayo sana. Mimi nilianza na ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler) ila sasa nina fuga na kutotolesha kuku wa kienyeji aina ya Malay. Wengi wanawafananisha na kuchi kwakuwa niwakubwa na wanakuwa na nyama nyingi.

Karibu kwa anayetaka viaranga.

Karibuni SuDeKi Poultry.
sudeki.co.tz

uko wap?
 
Asante sana kwa elimu nzuri sana. Uliyo yaandika mimi na kubaliana nayo sana. Mimi nilianza na ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler) ila sasa nina fuga na kutotolesha kuku wa kienyeji aina ya Malay. Wengi wanawafananisha na kuchi kwakuwa
niwakubwa na wanakuwa na nyama nyingi.

Karibu kwa anayetaka viaranga.

Karibuni SuDeKi Poultry.
sudeki.co.tz

Ahsante kwa bandiko lako murua

Je unayo fertile eggs za hawa kuku na utauzaje?

Awaiting for your reply soon
 
Sudeki tunapatikana Arusha eneo la Sakina Kiranyi
Namba zetu za simu
0752037802
0713078239
0712526667
 
Ahsante kwa bandiko lako murua

Je unayo fertile eggs za hawa kuku na utauzaje?

Awaiting for your reply soon

Sudeki ina fertilized eggs ila hatuuzi mayai. Tuna totolesha vifaranga na kuuza tu. Tunauza kifaranga cha umri wa siku moja na cha mwezi mmoja (4 Weeks).
Karibu
 
Msaada wakuu, naweza kupata wapi vifaranga vya kuku wa kisasa (broilers & layers)? Bei yao ikoje/ni kiasi gani? Naishi Dar ...
 
Nduguzangu' nami najumuika nipate kufahamu elimu hii niipendayo Je hawa kuku uliowaita Umbo la kati WANAPATIKANA wapi? , kwani kutokana na maelezo nahisi hawa nichaguo bora zaidi . naomba mnipokee kwani Mimi nimgeni humu . AHSANTENI SANA.
 
Mkuu mimi pia ni mfugaji wa kuku wa kienyeji lkn sina mbegu maalum yan ni mchanganyiko tu,je wap naweza kupata mbegu bora ya kuku wa kienyeji wa miez 3?, kwa bei gan?. Mi napatikana iringa na Mbeya.
 
Nashukuru kwa mawazo ya wachangiaji hapo juu kwani nimejifunza mengi kupitia kwenu kwa kipindi kifupi nilichofatilia uzi huu, niliwapa mayai 30 kuku watatu wameangua vifaranga 27 na vinakuwa vzr mpaka sasa wiki ya tatu. Nilimwachia kuku mmoja alee vifaranga vyote,shida imejitokeza kwa wale niliowanyima vitoto wamekaa siku kumi nikawapa jogoo ila wanataga mayai ambayo yana ganda laini sana kiasi kwamba halifai kuitwa yao. Naomba msaada nifanye nini???
 
Nadhani kuna upungufu wa calcium katika chakula wanachokula, so ukiwapatia calcium itasolve hilo
 
Jamani msaada kidogo. Nina vifaranga vyangu vina wiki ila vinajaa maji kichwani na vinaanza kufa. Hadi sasa viwili vimekufa tayari. Nini tatizo wakii
 
mkuu,
hao kuku ni dili sana sana, wape growers after 3 months wape layers, milo yote changanyia na pumba nyeupe ili ubudget msosi, jioni hivi waache watoke waokoteze okoteze mayai yao yawe ya kienyeji au unaweza wakatia majani mchicha etc humo humo bandani, watataga balaa.
Nitapataje hao kuku ase ninawahitaji sana, nipo arusha.
 
Cheki kuku wangu hawa wengiwengi ila nilianza na kuku nane tu. Ndani kuna vifanga kama 25 hivi na kuku mwingine kalalia juzi mayai 16! Wale wawili waliokuwa jela nimewatoa sasa hivi mmoja kashika adabu mwingine nimemkimbiza na hadi hapa napoposti kesharudi rumande hadi jumapili muda kama huu! Akifa na afe sitaki ujinga kabisa. Huwezi kukaa 48 hrs jela halafu eti anatoka koo kooo kooo bahati yake mama watoto kaenda gengeni kidogo!
 

Attachments

  • 1414764763027.jpg
    1414764763027.jpg
    143.5 KB · Views: 853
  • 1414764786441.jpg
    1414764786441.jpg
    156.6 KB · Views: 698
Back
Top Bottom