Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

shukrani sana kwa mchanganuo mzuri, japo mara nyingi huwa tunapata shida sana sababu mambo yanayoandikwa kwenye makaratasi ukiyaleta kwenye uharisia yanasumbua sana. tunakutana na vikwazo vingi ambavyo kwenye karatasi havikuzungumziwa.

na hii inasababishwa na tamaduni zetu mambo mengi hayajanyoka na hayako wazi mfano nilipata mchanganua wa kuchukua bidhaa nje kuleta hapa tukaungana na mwenzangu tukaangiza mzigo ulipofika pamoja na kuwa na document zote halali ilitubidi tutoa kama 1m ili mzigo wetu utoke haraka. kuna urasimu ,ushirikina na n.k matokeo yake unakuta unapafanya kwa mara ya kwanza lazima ikukate mpaka uzoee mazingira ambayo kwenye mchanganuo hayakuwepo. mchanganuo wako ni mzuri sana tutautendea kazi mkuu.
 

Naitaji mitetea10 mkuu nimeku Pm

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Thanks for post
 

asante mkuu. ila ni vuzuri kujiandaa na changamoto siku unaamka unakuta wote 200 wamekufa.
 
Asante sana,
Jana nimenunua kuku wanne, jike tatu na jogoo moja, ila ni wadogo, kumbe nitatokelezea hapo hapo;
God bless you.
 
Threads nyingi humu ndani ni ufugaji wa kuku hasahasa wa kienyeji,sina shaka na soko lake lakini ninawaomba wale waliofanikiwa mtupe uzoefu wenu ili nasi tuige mifano yenu ili tuchanganye na zetu,manake zingine ni nadharia tu na ngumu kutekelezeka.

THANKS
 
Mie tayari nimeanza, mambo yanaenda vizuri lakin ndio kwanza mzao(vifaranga) wa kwanza, kutoa feedback saiv mapema sana

Watakuja tu ambao tayari wamepiga hatua
 
FUSO taa ya chemli ngapi zinahitajika kwa vifaranga 800? kama inawezekana kukadiria, taa moja inaweza kuleta joto la kutosha kwa vifaranga wangapi?
 
Ndugu biashara ni maelewano si lazima nikuuzie kwa bei unayotaka wewe.
Na kuku wote walishachukuliwa siku nyingi sana.
 
Sasa hapa chakula hicho unanunua au unatengeneza nimeipenda sana kazi yako pia naomba unisaidie niandae nn mana nimeagiza vifaranga200 wanakuja j5
 
Kwanini?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
We siyo mfugaji we dalali tu unaishi mjini ki ujanja tu mwezio mimi mfugaji naelewa bei ya kuu...eti nimeuza hata picha umeshindwa kutuma hovyo humu jf kuna matapeli kibao

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…