Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
aah hiyo sijawai sikia, me nawapaga machicha wanayala sana tu sijawai ona wakiumwa kifua,
unaishi wapi ww mkuu, ninahitaji kuku wa israel.
very interesting ............ lakini inaonyesha muda mwingi unakuwa bandani??? Yaani kuangalia mayai, kuchora, kumulika na tochi ............ kuhamisha vifaranga ............... kufunga kuku (wafungwa) jela............. etc.
Hebu TAFADHALI tuelimishe .. ulikuwa unakaa bandani muda gani??? Ulikuwa unapata muda wa kutoka kidogo au????
otherwise HONGERA SANA.
mkuu,
hao kuku ni dili sana sana, wape growers after 3 months wape layers, milo yote changanyia na pumba nyeupe ili ubudget msosi, jioni hivi waache watoke waokoteze okoteze mayai yao yawe ya kienyeji au unaweza wakatia majani mchicha etc humo humo bandani, watataga balaa.
Nitapataje hao kuku ase ninawahitaji sana, nipo arusha.
MILCAH28 Chotara gani?
Malawi, Uganda, Kenya au Tanzania yani local hens with foreign ones
Wapo kwangu
Ndio nipo dar, Banana ukonga
Majike 20 kwa 15000/-
Jogoo 4 kwa 20000/-
Wapo sawa ktk chanjo usijali
0763234201
0716234201
Unakuja lini?
Sawa utanicheki mkuu