Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Kila la heri, ila usisahau kufanya survey ya wapi wanakostawi kuku hao, kwani kuna hali ya hewa doesn't favour them. Mfano why wanastawi zaidi Singida kuliko sehemu nyingine.
 

Poa umesomeka

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jaaamani Natafuta MTU anayeuza kuku wa kienyeji chotara itakuwa poa zaidi...Naitaji kama 10-15 hivi wa kuanzia miezi,4-5....

kuna mtu anao miezi minne na nusu. Mbezi makonde kama uko serious nikupe namba yake
 

Kwa mwezi unawalisha kilo ngapi za chakula?
 
Mimi ninao kuku chotala wa miezi 3 na 4 kuku bora wanatoa vifaranga vizuri wapo dsm mbezi ya kimara
 
Hongereni wadau kwa uzi mzuri nimejifunza mengi kabla sijawa memba na nimejiunga ili niwezee kuchangia pale inapobidi. Naombeni mnipokee na Mimi in mdau mwenzenu.
 
Aisee nimebarikiwa na huu uzi..
Nimeanza kuusoma leo saa 6.30 am!
Asante sana mkuu kwa kuleta jalada la maarifa...
 
nimevutiwa sana na somo ila tatizo mi nkifuga kuku wanakufa sana

Badala ya kuitazama hili la kufa sana kama tatizo, hebu lichukulie kuwa ni changamoto yako, nitakupa mfano ...nilitotoresha vifaranga 20 wa Bata mzinga, wamekufa 15! na hasa walipofukusha week ya pili ...naendelea kujifunza wapi kuna shida ...next batch nitapojea vifaranga 30 kama hao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…