Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Pole sana, je ni uvimbe kama ndui au macho tu na kichwa? Wana umri gani? Vitamin unawapa? Ndui inakuwa vidonda vya brown hadi kwenye upanga. Ila ukosefu vitamin macho na vichwa huvimba.

ni macho na vichwa,cjawahi kuwapa vitamins,nimeanza kuwapa OTC+ lkn bado wanakufa,nimesafisha banda lote pia.
 
pole sana chakula chako je maana vifaranga uwape starter vitamin kidogo hata kama wa kienyeji hadi miezi 2 ipite ndo wanaweza anza kuwa wanalishwa vingine,

Sijawahi kuwapa vitamins,walikua 50,sasa wamebaki 38,anyway ndo najifunza,next time nikipata vifaranga ntawapa vitamins,asante mama Joe.
 
Asante na chakula chao pia sasaivi ungekuwa na kuku 50 jitaidi waliobaki wape starter
Sijawahi kuwapa vitamins,walikua 50,sasa wamebaki 38,anyway ndo najifunza,next time nikipata vifaranga ntawapa vitamins,asante mama Joe.
 

Hao kuku wako wana ukosefu wa calcium, kwenye chakula chao wachanganyie unga wa konokono kama unapatikana au tafuta chokaa ya kuku
 
chukua matofali nane za block,ziegamizie ukutani zipange chini4 na juu4,
kisha zile za juu zifunike na kipande cha ubao
utaona umepata vyiota vitatu,ndani ya hivyo viota weka mchanga kidogo na nyasi iwe mfano wa chungu,
gawa mayai yako kwa idadi sawa, mfano. kama yapo30 kila kuku atapata10, kisha tafuta kipande cha ubao kwa
ajili ya kuzuia kinakuwa kama mlango ktk kila kiota, kisha waweke kuku ktk hivyo vyumba, ukifika muda wa kula unawafungulia wanapata chakula kisha unawakamata na kuwaweka tena, fanya hivyo kwa siku saba tu, kisha kale kamlango huna tena haja ya kukaweka, kwa maana watakuwa umeshawacondition ktk viota vyao.
 
Duh! nimeipenda sana hii mzee. hata mimi nimevutiwa nayo please kama inawezekano send it even to me. Maana " We normally learn good from the ways of people than from people themselves". Please do it maana nipo katika mchakato huo huo, japo siko Dar.


Mkuu sa Nazi naitaji mwongozo juh ya awo kuku layers niweze kuanza ifanyia mchakato hii plan naipwnda sana nashukuru kwa wazo lako ma email n jacklinemgalla@gmail.com.com
 
Ubalikiwe xana kk kwa kutupa mwanga wa kutuonesha jinsi ya kupambana na umasikini uliyokisili katika jamii ytu.
 


Duh, kweli unajua kupiga hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…