Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ase mimi nauza asali ya nyuki wadogo safi kabisa kutoka misitu ya mlima kilimanjaro,mzigo unavuniwa pale tu unapoweka oda,na mzigo unapatikana kwa jumla na rejareja,ukihitaji nicheki tu fb jina dev wa masaki
 
Kuna aina ya chakula hao kuku wanakosa, wachanganyie magadi kwenye msosi wao, wamekosa calcium ndio maana wanakula mayai
 
hapa kuna mambo mawili ... kwanza kuna kuku kula Mayai kama habit pili kuna kuku kula Mayai kwa sababu za ukosefu wa Madini mwilini ..... jitahidi kutengeneza kiota kidogo cha kutagia Mayai babdani kutompa nafasi kuku kusambaza yai anapolitaga pia jitahidi kuyaondoa Mayai immediately yanapotagwa ..... Kwa upande wa Madini mwilini wawekee DCP ( Dicalcium Phosphate) kwenye chakula unachoeapa in
 
wadau kuna hili suala la kuku kutaga kisha kula mayai,pia kuna kuku ambaye wenzie wakitaga anavizia na kula mayai...linatibika vipi hili

Wanakosa baadhi ya viinilishe katika chakula hasa madini ya Calcium.
 
Gud idea tho ukitaka kupunguza muda wa mafanikio unaweza peleka mayai yako kwa wanao incubator ukatotolesha wengi wanalipisha 200 kwa kila yai...just a thought
 
Kwa anayehitaji mayai ya kutotolesha au vifaranga kuku chotara. Tunao weusi wa malawi na kenbro, vifaranga vya siku moja 1500/ wiki moja 2000/ na wiki 2 ni 2500/. Mayai tray 11,500/. Tupo mbezi beach makonde. Karibuni
 
kwa anayehitaji mayai ya kutotolesha au vifaranga kuku chotara. Tunao weusi wa malawi na kenbro, vifaranga vya siku moja 1500/ wiki moja 2000/ na wiki 2 ni 2500/. Mayai tray 11,500/. Tupo mbezi beach makonde. Karibuni

mna dorep? Nahitaji dorep plz.kenbro naweza pata jogoo
 
Mama joe,sms yangu hujajibu,umesema una kenbro,nimeuLIza dorep wapo?
 
Back
Top Bottom