Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Naomba ushauri kuku wangu wanalalia zaidi ya watatu kweny kiota kimoja.

Haaaaa haaaaaa ka mie wana tabia hiyo hiyo ...embu nionyeshe viota vyako


Kuondokana kabisa na tatizo hilo ni vizuri kuwa na incubator kwa ajili ya kutotolesha mayai.
 
Wadau naomba kujuzwa kiwanda cha miavuli hapa tz kipo wapi
 
me natarajia kuanza kufuga kuku kuanzia mwez unaofuata-mfuga kuku naomba unisaidie njia bora ya kufuga kuku wa kienyeji namba yangu ni 0758216400,oleoju@gmail.com nahitaji msaada wenu nimechoshwa na umasikin niliokuwa nao
 
Nilianza na Kuku wawili mwaka Jana may now napapasa Kuku 200 wa kienyeji hadi June...nitakuwa muuzaji mkubwaaa wa mayai ya kienyeji....
 
Hivi kwa mkoa wa Manyara kuna watu wana maduka ya ku SUPPLY vyakula vya kuku kama ilivyo Dar? naomben kujuzwa jamani no.0713392879
 

Nitumie data base basi kwa edwinegodwine88@gmail.com
 
Kubota pitia mala kwa mala hapa kijiweni,nina imani mpaka sasa ulisha boresha mradi wako wa mkaa, siku hizi unatengeza mkaa wa kisasa sio ule wa kuharibu mazingira
 
Habari yenu jf nimekuwa nikifuatilia tangu mwanzo na nimefurahishwa sana na kazi nzuri za Kubota na member wengine kwenye hii thread ila sasa nimeona nijitambulishe kwenu kama mtaalamu wa maswala ya mifugo hasa ufugaji wa ndege wafugwa na kuku.
lengo langu sio kukusanya mapato kwasasa ila kujaibu kuinua Tanzania yangu kwa uwezo wangu mdogo nilionao..nimeshangazwa sana na tarehe ya mwisho ya post hii ilikuwa 2013 ila natumai bado mtakuwepo.
tuendelee kuwasiliana.
 

kama mtaalam wa ndege wafugwao 2pia maujanja
 
Mkuu kubota natumai bado unapita huku,,.naomba fanya study tour hapo shamban kwako moro..!!namba yangu 0764396335..thnx..!
 
Mkuu Kubota, nimefuatilia hii thread hakika kuna kitu muhimu sana ambacho nldhani naweza kumbe nilikuwa siwezi, hii ni kutokana na mtaalam mmoja wa mifugo kunipa elimu ambayo haikuzaa matunda mujarabu, but throughout hapa naona vitu tofauti na ambavo itapendeza kila unapo_post hii kitu hapa ukitupia kwenye hii email todayspro@gmail.com.


BARIKIWA.
 
Sasa ndugu hiki kinyesi cha tumboni si inabidi ukae karibu na machinjio ya ngombe ili ukipate?
Vingnevo kwa siye wa mjini imekula kwetu !.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…