chodo1990
Senior Member
- Nov 30, 2013
- 198
- 215
epbilali@gmail.com ndo niliyokusudia kaka tupeane maujuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima ujiulize maswali machache tu
a) Kwa nini unaweka maranda?
b) Kwa nini unaweka magazeti?
c) Kwa nini unafanya cover kwenye madirisha kwenye banda la vifaranga na kuachia sehemu za kupitisha hewa?
Vitu hivi ni basic na lazima kila mfugaji aelewe maana ya kila hatua.
Malanda: tunapunguza phyical contact kati ya kifaranga na sakafu, by asumming sakafu ina ubaridi na pia inatuza bacteria kwa urahisi wakati wa unyevu. kwa ku apply malanda juu ya sehemu watayoishi vifaranga basi unapunguza contact hence kupunguza magonjwa kwa vifaranga / kuku.
Magazeti unaweka juu ya malanda, hasa kupunguza vumbi, wote tunajua vifaranga hukimbia kimbia na watatimu vumbi ambalo litawafanya waugue mafua - sasa ukiweka magazeti unapunguza case hii. hakikisha hakuna phisical contact kati ya kifaranga na sakafu, pia hakikisha banda ni kavu muda wote.
Utaziba madirisha kuweka joto la kawaida la vifaranga arround 35 - 38C. kama huna umeme (Dowans) kwa ajiri ya kuongeza joto basi unaweka kutumia chemli. Jiko la mkaa ni hatari kwani carbon inayotoka hapo inaweka kuwa sumu usipokuwa mwangalifu.
Mi si daktari wa mifugo ila majarida na vipeperushi vinasaidia sana. Madaktari wataongezea.
Incubators price list.
A.automatic electrical egg incubators.
1.30-60..........500000
2.60-90 .........600000
3.90-120........700000
4.120-150......800000
5.150-180......900000
6.180-210....1000000
7.240-270....1100000
8.270-300....1200000
9.360...........1400000
10.420.........1500000
11.480 ........1600000
12.510.........1700000
13.600.........1900000
14.660.........2000000
15.720.........2100000
16.780.........2200000
17.840.........2300000
18.900.........2400000
19.960.........2500000
20.1020.......2600000
b.electrical manual incubator.
Basically,this is incubators uses handle to turn egg manualy after each eight hours.
If you need manual incubator,reduce tshs.200000,in the normal price of automatic,the remaining is the price of manual inc.
Nimefurahi kupata darasa la ufugaji
Kama hauko mjini saba utakufaa km utakuwa na eneo la kutosha afu zungusha fance ya wavu km uko na majirani karibu then fanya kufuga kwa free range! Utapunguza gharama, pia unaweza kununua mitete km kumi itatosha kabisa kutotoa kuku wa kuanzi. Zingatia chanjo.
jamani nnaomba kjuzwa ninamna gani nfanye ili niweze kufuga kuku wa kienyeji kwa hio mtaji npate kutoka