Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Lazima ujiulize maswali machache tu

a) Kwa nini unaweka maranda?
b) Kwa nini unaweka magazeti?
c) Kwa nini unafanya cover kwenye madirisha kwenye banda la vifaranga na kuachia sehemu za kupitisha hewa?

Vitu hivi ni basic na lazima kila mfugaji aelewe maana ya kila hatua.

Malanda: tunapunguza phyical contact kati ya kifaranga na sakafu, by asumming sakafu ina ubaridi na pia inatuza bacteria kwa urahisi wakati wa unyevu. kwa ku apply malanda juu ya sehemu watayoishi vifaranga basi unapunguza contact hence kupunguza magonjwa kwa vifaranga / kuku.

Magazeti unaweka juu ya malanda, hasa kupunguza vumbi, wote tunajua vifaranga hukimbia kimbia na watatimu vumbi ambalo litawafanya waugue mafua - sasa ukiweka magazeti unapunguza case hii. hakikisha hakuna phisical contact kati ya kifaranga na sakafu, pia hakikisha banda ni kavu muda wote.

Utaziba madirisha kuweka joto la kawaida la vifaranga arround 35 - 38C. kama huna umeme (Dowans) kwa ajiri ya kuongeza joto basi unaweka kutumia chemli. Jiko la mkaa ni hatari kwani carbon inayotoka hapo inaweka kuwa sumu usipokuwa mwangalifu.


Mi si daktari wa mifugo ila majarida na vipeperushi vinasaidia sana. Madaktari wataongezea.

Thanks.
This is very useful mkuu.
 
Incubators price list.

A.automatic electrical egg incubators.

1.30-60..........500000
2.60-90 .........600000
3.90-120........700000
4.120-150......800000
5.150-180......900000
6.180-210....1000000
7.240-270....1100000
8.270-300....1200000
9.360...........1400000
10.420.........1500000
11.480 ........1600000
12.510.........1700000
13.600.........1900000
14.660.........2000000
15.720.........2100000
16.780.........2200000
17.840.........2300000
18.900.........2400000
19.960.........2500000
20.1020.......2600000

b.electrical manual incubator.
Basically,this is incubators uses handle to turn egg manualy after each eight hours.
If you need manual incubator,reduce tshs.200000,in the normal price of automatic,the remaining is the price of manual inc.


Ntazipata wapi?
 
Nimefurahi kupata darasa la ufugaji

Mav.I yako wee. Unaquote uzi wote ili kuandika ushuz wako huo mpuu..zi wewe nyo*ko we? Unachosha tunaotumia simu zisizo smart nya*u wee. Siku nyingine log in then comment moja kwa moja maniner zako
 
Wakuu nawasalimu.
Mwenye ujuzi wa namna ya kupambana na ugonjwa wa kuku hasa vifaranga wa kuvimba vichwa na macho na pia macho kuwa na utando mweupe anisaidie tafadhali.
 
jamani nnaomba kjuzwa ninamna gani nfanye ili niweze kufuga kuku wa kienyeji kwa hio mtaji npate kutoka
 
Kama hauko mjini saba utakufaa km utakuwa na eneo la kutosha afu zungusha fance ya wavu km uko na majirani karibu then fanya kufuga kwa free range! Utapunguza gharama, pia unaweza kununua mitete km kumi itatosha kabisa kutotoa kuku wa kuanzi. Zingatia chanjo.
 
Kama hauko mjini saba utakufaa km utakuwa na eneo la kutosha afu zungusha fance ya wavu km uko na majirani karibu then fanya kufuga kwa free range! Utapunguza gharama, pia unaweza kununua mitete km kumi itatosha kabisa kutotoa kuku wa kuanzi. Zingatia chanjo.

Ebu rudi mwanzo man kama cjakudaka vile
 
Fuga freerange ola unatakiwa uwe na uwanja wa kutosha ili kuku wasilete bugudha kwa majirani na pia kuepusha magonjwa. Mtaji wa lakitatu kufuga kuku kwa ndani inakuwa kidogo unless ufuge kuku 5 tu...! Pia nimejushauri unaweza nunua mitetea km 10 ukatotolesha vifaranga mwenyewe. Kununua vifaranga itakugharimu sana! Kikubwa kuwa makini watu wengi wanauza kuku wagonjwa hasa wakubwa. Kuku akitooa after 20 days una wachukua watoto unawafungia mama yao ataanza kutaga. Kipindi kifupi utakuta una wEngi sana!
 
Habari za leo wapendwa,

Natumaini wote mu wazima. Ndugu zangu naombeni elimu kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji na dawa zake

1] Hivi kuna dawa za kuzuia magonjwa kabisa?

2]Kama zipo zinaitwaje?

3]Je kuku wa kienyeji anaweza kufugwa kisasa{ndani ya banda na kulishwa vyakula vya kisasa}

4]Kama ni ndio je atakua haraka kama wakuavyo kuku wa nyama?

Ndugu zangu nisiwachoshe sana yangu ni hayo tu, naombeni msaada kuhusu hayo.
 
Mwl.RCT umemaliza kila kitu hapo, nimeanzisha ufugaji wa kuku mwaka 2013 kwa kutumia thread hizo,hakuna kitu utakoss humo
 
Last edited by a moderator:
Kweli jamii forums imeingiliwa. .lugha chafu hivi za nini? Kwani kumueleza mtu ukweli hata kama kakosea ndio umtusi?
 
jamani nnaomba kjuzwa ninamna gani nfanye ili niweze kufuga kuku wa kienyeji kwa hio mtaji npate kutoka

oky,umesema una laki tatu,lakini bado hujasema kama vitu vingine kama ardhi au mabanda unayo au hauna!,kama unayo sehemu ya kufugia basi kwa hiyo hela inakutosha kabisa,ingawaje itakubidi uanze kidogo kwa kununua vifaranga kadhaa huku ukiacha akiba ya fedha kidogo kwaajili ya chakula na dawa.
 
Mambo vip waungwana, mimi nina mtaji mdogo, napenda kufanya kilimo cha ufugaji wa kuku. Nina sehemu iko sawa na ni kubwa pia ina banda kubwa la kuku. Je kwa mtaji huu nianze na kuku wa aina gani , je wa nyama, wa mayai ama kienyeji? Na ni kwa namna gani nitaweza kukuza mtaji huu ndani ya miezi 6 niweze kuona matunda yake? Naombeni ushauri, mwisho kama kuna mtu pia yupo commited kufanya hii ishu kwa pamoja tukashirikiana eneo lipo naomba tuwasiliane, ila awe na uzoefu kidogo...0659-606000
 
wakuu naombeni ushauri wenu.
mimi napenda sana kufuga nimejaribu na kuku wakisasa wa nyama ila sipati faida. sasa nataka kubadilisha ni fuge wa kienyeji. mabanda ni nayo na pia ninaowachache wa kienyeji. je wakienyeji wanafaida? na pia wanachukua muda gani kukua mpaka kuuza? naomba mnishauri. asanten.
 
Back
Top Bottom