Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mbona tunatishana tenaKuku wakienyej hawana kinga ugonjwa ukija unazoa woteee
Achana na kilaza huyo kavamia jukwaa!!!Duh mbona tunatishana tena
HeheAchana na kilaza huyo kavamia jukwaa!!!
Ndugu yangu wafugaji wa humuhabari wakuu, kama topik isemavyo hapo juu....siku za karibuni kumeibuka watu mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii wakinadi aina mbali mbali za kuku wa kienyeji/chotara kwa biashara ya mayai, najua humu kuna watu washajaribu hizo aina tofauti basi ni vyema tukashea ujuzi/matokeo ya tafiti zenu kutokana na walivo-perfom kwenye soko la mayai.
pia ni vyema kama mtatufahamisha wapi pakupata mbegu bora grade one sio mchakachuo ili tusije lia kwenye biashara.
mi nilishasikia majina kama kuroiler,sasso,tabora,malawi etc,
ni tumaini langu mtatusaidie sie wafugaji/wajasiriamali chipukizi kwa ushauri wenu.
mbaki salama, na heri ya christmass na mwaka mpya.
Wana Jf,
Kuna maandiko mengi JF ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu wadau wa JF mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga wajasiliamali ambao hawana nguvu kifedha kujenga mabanda kisasa, mashine kutotolesha vifaranga, kutibu magonjwa wala kujenga wigo (fence) n,k. Naomba mzijue mbinu hizi nisije kufa nazo, huu ni mchango wangu kwenu watanzania wenzangu wale ambao mtakuwa hamjawahi kuzisikia mbinu hizi. Mbinu hizi baadhi nilisoma vitabuni nikazijaribu na kuziboresha kwa mazingira yangu duni! Mbinu zingine niliziona kwa wakulima duni kama mimi nikazitumia na kuleta mafanikio makubwa, mbinu zingine nilizigundua mwenyewe na nikafanikiwa sana. Hizi mbinu hazijafanyiwa utafiti rasmi lakini nimeweza kufanikiwa kuwa na kundi kubwa la kuku kwa haraka sana kupitia ujanja huu!!
Mdau wa JF nakualika utembelee uzi huu mara kwa mara kila upatapo fursa ili uweze kufuatilia simulizi yangu maana itakwenda kwa vipande vipande. Mnakaribishwa kuchangia uzoefu wenu ili tuboreke zaidi.
Mbinu hizi zitagusia zaidi: Utotoreshaji vifaranga vingi kwa mara moja bila kutumia mashine! Ukuzaji wa vifaranga vingi kwa njia rahisi na kwa haraka zaidi, ulinzi wa kuku dhidi ya wanyama maadui, kudhibiti kuku wasizurule, magonjwa niliyofanikiwa kuyadhibiti, ujenzi wa vibanda wenye kukidhi mahitaji mbali mbali. Ni utaalamu nilioupata kwa gharama kubwa na mahangaiko ya muda mrefu, nauleta kwenu ili sote tuendelee kukua pamoja kiujasilia mali.
Stay tuned and keep on visiting this thread!!
NITATAKUTAFUTA
===============
UPDATE
===============
Ndugu yangu wafugaji wa humu
Ni miyeyusho tuu
Wanaongea sana wakati hata hawafugi
habari wakuu, kama topik isemavyo hapo juu....siku za karibuni kumeibuka watu mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii wakinadi aina mbali mbali za kuku wa kienyeji/chotara kwa biashara ya mayai, najua humu kuna watu washajaribu hizo aina tofauti basi ni vyema tukashea ujuzi/matokeo ya tafiti zenu kutokana na walivo-perfom kwenye soko la mayai.
pia ni vyema kama mtatufahamisha wapi pakupata mbegu bora grade one sio mchakachuo ili tusije lia kwenye biashara.
mi nilishasikia majina kama kuroiler,sasso,tabora,malawi etc,
ni tumaini langu mtatusaidie sie wafugaji/wajasiriamali chipukizi kwa ushauri wenu.
mbaki salama, na heri ya christmass na mwaka mpya.
Natamani kuuanza huu mradi
Mm nna mbegu mchanganyiko tu,kuroiler,rhode island,kuchi na wa malawi aka australop,sina takwimu sahihi za utagaji lkn naweza kusema hawajawahi kuniangusha.
Kuhusu mbegu grade 1 sina hakika km unwz kupata tanzania,na nakushauri usitafute cuz utakutana na matapeli tu wanaojifanya wanauza kuroiler pure kwa bei kubwa kumbe sio kuroiler,la muhimu nunua kwa mtu unayemwamini kuwa anazingatia line-breeding na sio in-breeding.
asante kwa kua honest, mimi nligundua wengi wanaojitangaza especially aina ya kuroiler sio pure jamaa yangu aliingia kichwa kichwa unakuta ni 3rd/4th generation hata wakienyeji wanawapita kutaga, sasa mkuu vipi bei ya mayai ya hao malawi je unauza bei sawa na kienyeji au bei ndogo...? i mean unapouza sokoni unayauza kama ya kuku wa kienyeji 12k/15k kwa trei ama unauza kama ya hawa broiler 7k?? nataka kujua thamani yake sokoni.
Mm sijalenga kuuza mayai,nauza vifaranga,mayai hailipi.Naona kama unataka kuuza mayai bora ufuge layers wa kisasa.
ni kweli lengo langu ni kuuza mayai zaidi, vifaranga i think inahitaji mtaji mkubwa zaidi wa mashine ya kutotolesha na mtandao wa kuuza hivo vifaranga kwa wafugaji wapya, bahati mbaya kutokana na nature ya mazingira yangu naona kama kuuza vifaranga itaniwia vigumu kuliko kuuza mayai. kwanini unasema hailipi mkuu wakati naona mayai ya kienyeji yanauzwa bei ghali kuliko hayo ya kisasa?