Basil materu
Member
- Apr 7, 2017
- 18
- 6
Swala la masoko ya mayai na broiler . na pia kama soko likiwa halitoshelez inakuaje? naomba ushauri wako katika hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majungu majungi tu jieleze na wewePole
Majungu ntakuwa nayo Mimi. Mwanzo si ulileta vitu robo tu. Ndo majungu hayo. Sina hata mda wa kukuletea majungu. Kwa kipi ulichokuwa nacho????Majungu majungi tu jieleze na wewe
Na Mimi nikijieleza najieleza vilivyo. Sio wewe mkurupukajiMajungu majungi tu jieleze na wewe
Au hapa ulikuwa unamjibu nani..kunankitu nimekosea
uko wap mkuu?Nauza kuku wa kienyej mbegu za malaw ..sh 1000..,wanataga sana nipigie 0743158800
Hicho kitabu mkuu kinauzwa shingap na unapatikana wap?Mimi ni muuzaji wa vitabu vya ufugaji wa kuku wa kienyeji, nakushauri ununue kitabu kinaelezea kila kitu tuwasiliane kwa namba hii 0756462228
kweli elimu bado sana inahitajika Tanzania!Yani mtu hata kuuliza swali hawezi!Naomba kuuliza juu ya masuala mazima ya ufugaji wa kuku wa kienyeji.