Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
kaka safi,lakini hayo yote umefanya kwa mtaji wa shilingi ngap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka safi,lakini hayo yote umefanya kwa mtaji wa shilingi ngap?
unaweza ukawatoa hata siku ya kutotolewa tu ila ukawa unawawekea joto mbadala kwa taa ya umeme au au mkaa kwenye kigaiMe baada ya kuona napoteza vifaranga vingi sana kwa mwewe nimeamua kuwafungia mama na mtoto kwenye mabanda sasa nawauliza wadau inachukua muda gani hawa kuku kutokuweza kudhulika na baridi nimtoe mama yao ili aanze kutaga tena? Kinachonipa faraja sasa ni takribani week tatu vifaranga 25 hakuna kilichokufa hata kimoja naombeni uzoefu.
Ukumbuke kueleza jinsi ya kumtambua kuku wa kuhatamia mayai na atafanya hivyo mara ngapi kabla ya kumpa uhuru naye aanze kutaga!
Twasubir mwendlezo,kazi yako ni njemausijari