Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 961
- 533
Mkuu kichwa, kwani kazi ya dagaa kwenye chakula cha kuku ni ipi,? Nilikuwa nazania iko kwenye kundi la kuimarisha mifupa, ok utakuja unitumie kwenye ISLAM YA MORO Ngoja nikae sawa.
Sawa mama Joe karibu sana.Kichwabovu asante kwa habari njema ngoja tujikusanye tutakutafuta.
Mkuu kichwa hivi ni lazima kuwachanja Vifaranga Chanjo ya Mareks?
Ni aina gani hao?maana ndio kwanza wana miezi 4 na nusu.By the way subili japo wiki ya 20 mkuu!
Habarini wana jamvi,
Leo niko Dodoma,naendelea na shughuli za utoaji wa elimu kwa wafugaji.
Hongera kichwa mbovu kwa kazi hi unayoifanya, no doubt GOD will pay u and all others humu JF for this work mliyoamua kujitolea kuifanya kwa Watanzania wenzenu. Mungu awabariki wote.
Heshima wakuu,
Kwa wale wazoefu wa kufuga kuku wa mayai nina wasiwasi kwani maandiko mengi yahusuyo muda wa kuku hawa kutaga ni week ya kumi na nane tokea wametotolewa! Leo wakwangu wametimiza week 19 sijaona hata yai moja! je kuna tatizo?
Asanteni.
Ndugu yangu soko la Sungura hapa kwetu Tanzania bado ni dogo sana.Wengi wanafuga kama mapambo nyumbani.