Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Mkuu kichwa, kwani kazi ya dagaa kwenye chakula cha kuku ni ipi,? Nilikuwa nazania iko kwenye kundi la kuimarisha mifupa, ok utakuja unitumie kwenye ISLAM YA MORO Ngoja nikae sawa.

Kaka Chasha,

Dagaa kwenye chakula cha kuku hufanya kazi ya kuongeza protein, mineral ni kwa kiasi kidogo sana. Kwenye mchanganyiko wa chakula cha kuku mashudu pia hutoa protein. Mineral hupatikana kwenye chumvi, mifupa, DCP na raw meal.
 
Kichwabovu asante kwa habari njema ngoja tujikusanye tutakutafuta.
 
MBIA ANAHITAJIKA KWA AJILI YA KUENDESHA SHAMBA LA KUKU

Kuna shamba la kuku wa asili/ kienyeji wanaotaga mayai kwa ajili ya kutotolesha vifaranga mwenyewe anahitaji kuingia ubia (patnership) na mtu aliendeshe kwa vile amepata kazi inayomlazimu kusafiri kwenda mikoani hivyo kukosa muda wa kutosha kusimamia shughuli za shamba.

Shamba liko Mwanambaya (njia ya kwenga Mkuranga toka Mbagala). Aliye na nia ya kuingia ubia awasiliane kwa simu namba zifuatazo:

Dr. Mkoma: 0784 783561 au 0715783361 au 0754783561
 
Mkuu kichwa hivi ni lazima kuwachanja Vifaranga Chanjo ya Mareks?

Sio lazima kaka , kwa Tanzania kwani hatuna tatizo la ugonjwa wa Marek's.Ila kuku waingizwa nchini kutoka nje ya nchi lazima wachanjwe chanjo ya ugonjwa wa marek's.Kwanza kuzipata dawa za marek's ni shughuli pevu.
 
[h=1]Study: More DDGS possible in laying hen diets[/h] //05 Oct 2011
High corn and soybean prices have made the search for ways to decrease poultry feed costs more important than ever. According to the Poultry Science Association (PSA), researchers at the University of Nebraska have identified one possible approach that may be effective for laying hens: increasing the percentage of dried distillers grains with solubles (DDGS) used in hens' diets.

DDGS serve as a valuable source of energy, protein and amino acids in poultry diets. The researchers – Drs. Mahmoud Masa'deh, Sheila Purdum, and Katherine Hanford – detail their findings in a recent issue of the journal Poultry Science ("Dried Distillers Grains with Solubles in Laying Hen Diets"; Poult. Sci. 2011 90: 1960-1966).

Affordable poultry feed"Dried distillers grains with solubles have previously been shown to be a valuable and, especially given current prices of corn and soybean meal, affordable ingredient in poultry diets. Current usage levels of DDGS in poultry diets typically range from 5% up to 10%. What our recent study has shown is that growers can safely explore levels of DDGS in their diets for laying hens up to 15%, and perhaps as high as 25%, with no negative effects on feed intake, egg production, or other key metrics, and with improved yolk colour at the higher levels," said Dr. Purdum, one of the study's authors.

The research team's study comprised two egg production phases, during which diets were formulated to include 0, 5, 10, 15, 20, or 25% corn DDGS. The only difference between the diets in Phase 1 (week 24-46) and Phase 2 (week 47-76) was that in Phase 1, the diets were formulated on a fixed lysine and TSAA (total sulphur amino acids) level. During the second phase, the diets were designed to keep lysine and methionine at a fixed level, but the TSAA levels were allowed to increase due to higher cysteine levels in DDGS.

DDGS ConcentrationThe researchers found that neither feed intake nor egg production were affected by dietary DDGS concentration in either phase of the study. In Phase 1, however, researchers observed that increases in DDGS levels correlated with a roughly linear decrease in egg weight. However, the negative correlation between DDGS and egg weight was not seen in Phase 2 of the study.

According to the study's authors, differences in amino acid levels and potential bioavailability as well as changing amino acid balance in Phases 1 and 2 could have been the reason for the reduction in egg weight only during Phase 1.

The authors found no differences in Haugh units due to DDGS levels in either production phase. In addition, the authors observed a linear increase in the retention of nitrogen and phosphorous with increasing levels of DDGS; the output per kilogram (as measured in the hens' excreta) of these elements, however, decreased linearly as DDGS increased. This result is opposite to what was reported by other researchers, whose work focused on broiler chicks.

Egg yolk colourOne difference the researchers consistently found throughout the study was that egg yolk colour increased linearly with increased dietary levels of DDGS, reaching its greatest Roche colour fan score of 7.2 in eggs from hens fed the diet containing 25% DDGS. According to the authors, this indicates that xanthophylls in the DDGS were "highly available." They also point out that the xanthophyll content of dried distillers grains with solubles is approximately three times that of corn by weight (34 mg/kg vs. 10.62 mg/kg, respectively). This finding may be useful for producers selling eggs in markets where there is a consumer preference for increased yolk pigmentation.

Source: Poultry Science Association (PSA)
 
Habarini wana jamvi,

Leo niko Dodoma, naendelea na shughuli za utoaji wa elimu kwa wafugaji.
 
Heshima wakuu,

Kwa wale wazoefu wa kufuga kuku wa mayai nina wasiwasi kwani maandiko mengi yahusuyo muda wa kuku hawa kutaga ni week ya kumi na nane tokea wametotolewa! Leo wakwangu wametimiza week 19 sijaona hata yai moja! je kuna tatizo?

Asanteni.
 
Ni aina gani hao?maana ndio kwanza wana miezi 4 na nusu. By the way subili japo wiki ya 20 mkuu!
 
Habarini wana jamvi,
Leo niko Dodoma,naendelea na shughuli za utoaji wa elimu kwa wafugaji.

Hongera kichwa mbovu kwa kazi hi unayoifanya, no doubt GOD will pay u and all others humu JF for this work mliyoamua kujitolea kuifanya kwa Watanzania wenzenu. Mungu awabariki wote.
 
Hao wanaweza kuanza hata na miezi mitano, ingawa kwa kweli yote yanategemea na matunzo. Kama uliwalea/uliwafuga huku ukiwanyima chakula na viini lishe muhmu kwa kweli watachelewa. Kuku kama kiumbe chochote kile kinahitaji lishe muafaka ili kukua na hatimaye kukutolea mazao tarajiwa, yawe maziwa au mayai au nyama au asali! Upo hapo mkuu kajansi!? Asante.
 
Hongera kichwa mbovu kwa kazi hi unayoifanya, no doubt GOD will pay u and all others humu JF for this work mliyoamua kujitolea kuifanya kwa Watanzania wenzenu. Mungu awabariki wote.

Nakushukuru sana mzee wangu Mzee Mukaruka
 
Mkuu kichwa, hivi inakuaje Vifaranga wanatotolewa kwa siku 5? kuna mather mmoja ana incubator ndogo ya mayai 50 aina ya JN8-48, Sasa maajabu ni kwamba baada ya siku 18 mayai yalishushwa chini na ilipo fika siku ya 21 vifaranga walianza kutotolewa cha ajabu wanatoka watano, au watatu kwa siku na wanaendelea kutotolewa hadi leo hii, it means

Ni sababau zipi zinapelekea mayai kupishana muda mrefu sana kweye kutotolewa? make nilivyo juna mara nyingi wakianza siku ya 21 siku ya 22 au 23 huw wamemalizika,
 
Heshima wakuu,

Kwa wale wazoefu wa kufuga kuku wa mayai nina wasiwasi kwani maandiko mengi yahusuyo muda wa kuku hawa kutaga ni week ya kumi na nane tokea wametotolewa! Leo wakwangu wametimiza week 19 sijaona hata yai moja! je kuna tatizo?

Asanteni.

inaezekana pia dhakula unawabania
 
Habari wanajamvi?

Mkuu Kichwa mbovu tunashukuru sana kwa elimu yako murua, tunachukua elimu na kuifanyia kazi.
sasa kama kuna wakala wa vifaranga vya Mayai yupo humu namuomba anipm. Nataka kuanza kufuga Ila tatizo vifaranga wa Mayai wamekuwa adimu. Foleni imekuwa ndefu sana mpaka kupata. Hope nitapata majibu murua.
 
Naongezea,

Aina ya chakula unachowapa. Kiasi cha chakula kikipungua na kikizidi vyote mbaya, kwa vile hao ni commercial na sio organic, kuna vichocheo huwa wanapewa mfano vitamin kuku bora kama unaona wamechelewa. Lakini kwa hiyo breed nimeona wengi ni miezi 5 au 6.
 
Asante mkubwa hivi kuna chombo cha kuangulia mayai ya kienyeji ikiwezeka nitumie namba yk ya simu nitakutafuta
 
Ndugu yangu soko la Sungura hapa kwetu Tanzania bado ni dogo sana.Wengi wanafuga kama mapambo nyumbani.

Naomba msaada je nawezaje kupata hawa Rhode Ireland red(RID)
au Barred polmouth rock. Niko entebbe Uganda ( majogoo 10 kila type ) ntashukulu sana msaada wowote
 
Back
Top Bottom