Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 961
- 533
Mkuu kichwa, kwani kazi ya dagaa kwenye chakula cha kuku ni ipi,? Nilikuwa nazania iko kwenye kundi la kuimarisha mifupa, ok utakuja unitumie kwenye ISLAM YA MORO Ngoja nikae sawa.
Kaka Chasha,
Dagaa kwenye chakula cha kuku hufanya kazi ya kuongeza protein, mineral ni kwa kiasi kidogo sana. Kwenye mchanganyiko wa chakula cha kuku mashudu pia hutoa protein. Mineral hupatikana kwenye chumvi, mifupa, DCP na raw meal.