Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa anayeitaji kitabu cha ufugaji bora wa kuku wa kienyeji na kisasa PM me please
Mm nahitaji please..
Nauza kuku wa mayai sasa wana miezi 5 tangu waanze kutaga..wako 600 nauza kila 1 8500
Mimi nina 1000000 je naweza fuga kuku wangapi wa kienyeji. Mabanda yapo
Kwa anayeitaji kitabu cha ufugaji bora wa kuku wa kienyeji na kisasa PM me please
Kaka naminaitaji ichokitabu kimeandikwa kwaluga gani naunapatikana wapi?
Ndugu yangu Sunshine,Nina mtaji wa milioni 5 nianze ma.kuku wangapi na wa aina gani wa umri gani na nina uwezo wa kupata sh ngapi kama faida?