Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasota sana dada yaani hata kuweka picha ya hao kuku na bei hujaweka. Huko inbox bei utakayoniwekea mimi sio utakayotaja kwa JF memba mwingine tunaogopa.
sawa boss nitakuwekea picha za vifarangaUtasota sana dada yaani hata kuweka picha ya hao kuku na bei hujaweka. Huko inbox bei utakayoniwekea mimi sio utakayotaja kwa JF memba mwingine tunaogopa.
Kweli kaka Pleo umeongea kwa busara ya hali ya juu...nitaweka pichanadhani haita_kupendeza kujua mjasiriamali anasota siku za mbeleni, ila ungependelea kuona picha ya hao vifaranga, aina yao, bei, wingi kwa oda tarajiwa, mdau yupo wapi na kama usambazaji wake una wigo upi?, na vitu kama hivyo bila kusahau namba ya simu.
Hiyo supergrow inatumikaje kwa Kuku? Mimi ninavyofahamu ni mbolea ya mimea na haina maelezo ya utumizi kwa Kuku.
Habari ya mchana wapendwa, naomba msaada kwa wale wenye uzoefu na ufugaji wa kuku wa nyama,
mimi nafuga wa kienyeji ila nataka nifuge na wakisasa shida ni kwamba nashindwa kujua kwa mfano kuku 300 watakula mifuko mingapi kwa siku hadi wiki?