Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Kwa wale wanaohitaji vifaranga vya kuku wa nyama (Broilers) inbox me
 
wafugaji wenzangu, kwa wale wanaohitaji vifaranga vya kuku wa kisasa wa nyama Broilers wasiliana nami kwa kutuma private message (inbox me)
Karibu
 
Utasota sana dada yaani hata kuweka picha ya hao kuku na bei hujaweka. Huko inbox bei utakayoniwekea mimi sio utakayotaja kwa JF memba mwingine tunaogopa.
 
Unahitaji ujuwe food conversion ratio na pia quality management ya mayai unayotaka
 
Utasota sana dada yaani hata kuweka picha ya hao kuku na bei hujaweka. Huko inbox bei utakayoniwekea mimi sio utakayotaja kwa JF memba mwingine tunaogopa.

nadhani haita_kupendeza kujua mjasiriamali anasota siku za mbeleni, ila ungependelea kuona picha ya hao vifaranga, aina yao, bei, wingi kwa oda tarajiwa, mdau yupo wapi na kama usambazaji wake una wigo upi?, na vitu kama hivyo bila kusahau namba ya simu.
 
Kwa wafugaji wote wa kuku ni muhimu kuwachunguza kuku wako kama wamevamiwa na utitiri,chawa,pamoja na viroboto.Wadudu hawa ni wanyonyaji wakubwa sana wa damu na mara nyingi husababisha kuku kufa ghala huku akionekana hana uzito hata kidogo
 
nadhani haita_kupendeza kujua mjasiriamali anasota siku za mbeleni, ila ungependelea kuona picha ya hao vifaranga, aina yao, bei, wingi kwa oda tarajiwa, mdau yupo wapi na kama usambazaji wake una wigo upi?, na vitu kama hivyo bila kusahau namba ya simu.
Kweli kaka Pleo umeongea kwa busara ya hali ya juu...nitaweka picha
ndiyo maana nikapendekeza kuwasiliana kwa kutumia inbox messages
Wako waliopata maelezo waliohitaji

Hata hivyo kwa kifupi:
Kuku hawa ni aina ya Hubbard ambao wanafugwa sana katika bara la Asia na kusini mwa Afrika kama Mauritius, Zambia, Sauth Africa etc.
kifaranga ni sh 1350/-
order ni kuanzia vifaranga 250 -500 kwa order
Napatikana Dar es salaam eneo la Bunju
kwa mawasiliano ya simu ni- inbox message
Karibuni
 
Kwa anayeitaji kitabu cha ufugaji bora wa kuku wa kienyeji na kisasa PM me please
 
Hiyo supergrow inatumikaje kwa Kuku? Mimi ninavyofahamu ni mbolea ya mimea na haina maelezo ya utumizi kwa Kuku.
 
Hiyo supergrow inatumikaje kwa Kuku? Mimi ninavyofahamu ni mbolea ya mimea na haina maelezo ya utumizi kwa Kuku.

Kama unaitaji proof ingia google ndo utaelewa maelezo yake vizuri usipotoshe wenzako,Kama wewe huhitaji hiyo super gro
 
Wajasiriamali wenzangu...Vifaranga vinapatika kwa order. Mniwie radhi nimeshindwa ku download pictures..niitajithidi niweke wakati wowote inbox me kwa maelezo zaidi..
Karibuni sana
 
kwanini unakimbilia inbox?
weka maelezo na number zako wazi hapa ili watu wakuchalenji
 
Nauza kuku wa mayai sasa wana miezi 5 tangu waanze kutaga..wako 600 nauza kila 1 8500
 
Habari ya mchana wapendwa, naomba msaada kwa wale wenye uzoefu na ufugaji wa kuku wa nyama,

mimi nafuga wa kienyeji ila nataka nifuge na wakisasa shida ni kwamba nashindwa kujua kwa mfano kuku 300 watakula mifuko mingapi kwa siku hadi wiki?
 
Mimi naomba tu nikuulize hao Kuku wa kienyeji unao wangapi? Na ulianza na wangapi?
 
Kwanza kabisa itategemea na kuku wanakaa muda gani bandani, kama soko ni zuri unaweza kuwauza katijati ya wiki ya4 au mwanzani mwa wiki ya5, hapo basi broilers 300 watatumia mifuko ya 50 kg 15
 
Back
Top Bottom