Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Fuga nguruwe wewee au fungua maduka manzese na Ubungo external kama upo ndarisalama.

Kuku kichefuchefu!! wakipata ugonjwa usiku, mpaka ukiamka huna hata wa ushahidi.
Bigirita,unanikumbusha mbali sana wewe ni sawa na wale watu tunawaita passive investors ''avoid risk, doing bness not to lose'', inabidi tufanye b'ness kama Active investors hawa jamaa wanatake risk ajabu!! na siku zote inaaminika kwamba the higher the risk,the higher returns. Biashara ya nguruwe inachukua mda mrefu sana kama miezi sita ili uuze kwa faida ila ya kuku inakuchukua wiki 5 mpaka 8,then ukiuza mpango mzima ingawa ina risk kama unavyosema. Biashara zenye risk kubwa ndo zina faida kubwa nasisitiza tusifanye biashara kwa mazoea take risk kijana.
 
fuga nguruwe wewee au fungua maduka manzese na ubungo external kama upo ndarisalama.

Kuku kichefuchefu!! Wakipata ugonjwa usiku, mpaka ukiamka huna hata wa ushahidi.

Point taken.
 
Mlachake

Mimi ni mshauri wa biashara nilishawahi kuwatengenezea wateja michanganuo kama huo wakaanzisha mradi na wanaendelea vizuri. Je, una mtaji wa kiasi gani na unalo eneo la kufugia? Hii ni stricttly business swala la msaada halipo kama uko serious tuwasiliane ili nikuandalie mchanganuo nipigie simu 0755394701. Licha ya kutengeneza mchanganuo nitakupa na ushauri kwani hata mimi mwenyewe ninafuga. Biashara hii ni nzuri kama unapata ushauri mzuri itakutoa.
 
Sio wote lazima mfuge kwenye hii chicken industry,wengine you can venture in chicken feed manufacturing,ni very simple machine zinazotumika hata SIDO can design & produce,lakini on the internet, India or China zipo cheap and best quality which can do the job for minimum production cost,raw materials zipo all over and cheaper if u buy bulky, basically you need only 2 or 3 machine for the job hammer mill, grindmixer, premixer (for vitamins, ingredient mixing) tena nyingi zinakuja na software zake zinazokupa guide for best feed ,simple grindmixer niliyoona can produce 200bags every 8 hrs. Anyway if you re interested do your own research,inaonekana kama demand (chicken) ikiongezeka this can be good business.
 
Ndugu zangu nielekezeni dawa bora ya kukinga na kutibu kuku ugonjwa wa mdonde,kideri na kikohozi. Nimejaribu mara tatu lakini kuku walikufa.
 
Jaribu kuwapa chanjo ya matone. Ila zaidi waone madaktari wa mifugo kwa ushauri wenye tija.
 
Ndugu zangu nielekezeni dawa bora ya kukinga na kutibu kuku ugonjwa wa mdonde, kideri na kikohozi. Nimejaribu mara tatu lakini kuku walikufa.
 
Kideri, mdondo huzuiwa kwa kuwa na utratibu wa kutoa chanjo zake kila mara. Yaani kama kuku wanafugwa ndani basi wape chanjo mara moja kila baada ya miezi mitatu, na kama kuku wanafugwa huria (Free range) chanja kila mwezi. Kikohozi pamoja na kutumia dawa, hakikisha banda la kuku lina uwezo wa kupitisha hewa ya kutosha
 
Yap! Huwa wanasisitiza chanjo kama alivyoeleza Kifulufumbi pia banda lao lifanyiwe usafi mara kwa mara.
 
Habari wadau,

Naomba mnisaidie, nataka kuanza ufugaji mdogo wa kuku na nitaendelea kukua siku zinavyokwenda.
Nahitaji kuanza kufuga kuku waliochanganyika breed, wa kisasa na wa kienyeji.

1. Wanaotaga wa kisasa ni vizuri kuchukua kuku wa umri gani kwa mbegu nzuri?
2. Jogoo mmoja anatosha kuku wangapi?
3. Kuna mahali wanauza vifaranga ambao tayari ni breed ya kisasa na kienyeji?
4. Soko la kuku waliochanganywa breed lipo au ni kama soko la kuku wengine?
5. Kama kuna mashamba ya mfano maeneo ya Dar au Yanayozunguka naomba mnifahamishe niweze kwenda kuona practically inavyokuwa.
 
We are on the same page on this one! Jamani kuna wakutusaidia katika hili?
 
Kuna sehemu kule arusha inaitwa napoco wanashughulika na ishu zote ulizitaja hapo wanapatikana usa river juu kidogo ya ngurdoto hotel,jaribu kuwasiliana nao
 
Kuna sehemu kule arusha inaitwa napoco wanashughulika na ishu zote ulizitaja hapo wanapatikana usa river juu kidogo ya ngurdoto hotel,jaribu kuwasiliana nao

Same na mm nahitaji ila nipo Dar. Hao wa Arusha tupe contact mkuu.
 
Nenda Ruvu JKT, wanauza vifaranga, mayai na mazagazaga mengine ya kuku.
 
Nashukuru, kufika huko napita barabara ipi? Sijawahi kupita huwa napasikia tu.
 
Tupe contact za huko ndugu!
Kuna sehemu kule arusha inaitwa napoco wanashughulika na ishu zote ulizitaja hapo wanapatikana usa river juu kidogo ya ngurdoto hotel,jaribu kuwasiliana nao
 
Nashukuru, kufika huko napita barabara ipi? Sijawahi kupita huwa napasikia tu.

Nenda Ubungo pale stand ya daladala, panda daladala za Mlandizi. Au panda za Chalinze, shuka Mlandizi, uliza njia ya kwenda JKT. Huwezi kupotea,ni barabara iko upande wa kulia kama unakwenda Chalinze kabla hujaanza mtelemko kwenda Ruvu Darajani.

Pale kuna vijogoo, vifaranga vya kienyeji japokuwa haijulikani mayai wanatoa wapi (wana incubator kubwa) na wanafanya biashara vizuri. Watakuhudumia bila urasimu, ni wewe tu kufika.

Hata kuku wa kisasa wapo kwa ajili ya nyama na mayai.
 
Back
Top Bottom