Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Hata wakianza kutaga yanakuwa size ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi nahitaji sana pumba unapatikana wapi hapa Dar


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread imekuwapo toka mwaka 2009, yaani miaka 11 hadi leo, sasa tunaomba mrejesho kama kuna mwana JF aliyefanikiwa kutoka kimaisha - yaani kusomesha watoto shule nzuri, kujenga nyumba, kununua gari nk kupitia hawa kuku tu.
 
Kuku wa broiler ni kuku wa nyama kwa wale wasiojua hii aina ya kuku.

Uzuri wa kuku wa broiler wanafugwa ndani ya wiki nne tu, yaani mwezi mmoja na wanakuwa tayari kwa ajili ya kupelekwa sokoni.

Kujua zaidi kuhusiana ana ufugaji huu tazama video niliyoiandaa hapa kwenye mradi wangu wa ufugaji wa broiler apa chini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread imekuwapo toka mwaka 2009, yaani miaka 11 hadi leo, sasa tunaomba mrejesho kama kuna mwana JF aliyefanikiwa kutoka kimaisha - yaani kusomesha watoto shule nzuri, kujenga nyumba, kununua gari nk kupitia hawa kuku tu...
Kwanini umeweka “hawa kuku tu”

Mjasiliamari afanyi biashara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mahitaji ya kutotoa mayai yako upate vifaranga kama upo Arusha mjini.
tupo Njiro.

Tupigie au SMS 0710609032.
Leta kuanzia tray tatu kuendelea.
Kama huna mayai ya mbegu, tutakupa mayai bora.
 
Hata mimi nipo nafuga nakutana na Changamoto sana kiongozi.
Yan ni basi tu

Unatumia gharama kubwa sokoni wanakuzingua. ila pambna kiongozi I believe one day yes Tunaelimika kutokana na makosa. Nina imani ulivyo sasa ni tofauti na ulivyoanza.
 
Unatumia gharama kubwa sokoni wanakuzingua. ila pambna kiongozi I believe one day yes Tunaelimika kutokana na makosa. Nina imani ulivyo sasa ni tofauti na ulivyoanza.
Asante kwa sasa unafanya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…