Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

mada nzuri saana,nami naoma kuuliza,km banda lipo nikianza na vifaranga 600, vitanigalimu km tsh.ngap hadi hiyo miezi 5 wanapoanza kutaga??
 
Ni biashara nzuri to think of, ila ina high risk - kuku hata mia tano wanaweza kufa just for 24 hrs, so someone has to study the risk first before jumping into this business, unaweza kupata presha.

Hapa ndo anatakiwa uanze kidogo,ili kadri mradi unapoukuza na ww unajifunza,kupata hasara kwny kufuga kuku hakuepukiki,lkn angalau unajua umepata somo.
 
Unaweza usimpate kirahisi kwa sababu anaweza asijue kuwa unahitaji material zaidi,pili anaweza asipitie hapa leo,cha kufanya M-PM.

Ni mawazo yangu.

Habari mama malila!?
Una uzoefu na kuku wa malawi??? Je wakoje katika ufugaji??? Wanahitaji nini hasa???
 
Asante sana Amani kwa elimu nzuri japo ilianza kitambo naami kwangu ni muda muafaka.Na itanifaa sana kwa sasa.
Nauliza ktk ujengaji wa banda lipi ni sahihi kuziba pande zote kwa usawa wa tumbo langu na sehemu zote za juu kuacha wazi. Namaama kuzungusha nyavu tu juu.Au kuziba kote na kuacha sehemu baadhi?
 
Kuku anatakiwa ale vyakula vya ainangapi,na anaweza tumia kilogram ngapi kwa mwaka namaanisha kuku wa kienyeji.? Msaada tafadhali
 
RATIBA YA CHAKULA KWA KUKU MAYAI NA CHOTARA WAFUGWAO NDANI(INTENSIVE SYSTEM)[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]UMRI
KTK
WIKI[/TD]
[TD]UMRI
KTK
SIKU[/TD]
[TD]AINA
YA
CHAKULA[/TD]
[TD]CHAKULA/
KUKU(g)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]0-7[/TD]
[TD]Chick's mash[/TD]
[TD]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]8-14[/TD]
[TD] ''[/TD]
[TD]17
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]15-21[/TD]
[TD]"[/TD]
[TD]26[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]22-28[/TD]
[TD]" "[/TD]
[TD]34[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]29-35[/TD]
[TD]" "[/TD]
[TD]38[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]36-42[/TD]
[TD]" "[/TD]
[TD]43[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]43-49[/TD]
[TD]""[/TD]
[TD]47[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]50-56[/TD]
[TD]'' ''[/TD]
[TD]52
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9
[/TD]
[TD]57-63
[/TD]
[TD]Growers' mash
[/TD]
[TD]57
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10
[/TD]
[TD]64-70
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]60
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11
[/TD]
[TD]71-77
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]62
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12
[/TD]
[TD]78-84
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]66
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13
[/TD]
[TD]85-91
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]70
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14
[/TD]
[TD]92-98
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]74
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15
[/TD]
[TD]99-105
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]78
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16
[/TD]
[TD]106-112
[/TD]
[TD] " "
[/TD]
[TD]83
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


##=> Mkuu naomba unitumie pdf ya ufugaji wa kuku kupitia emal ifuatayo tajiriwamawazo@gmail.com
 
jamani mimi ni mjasiriamali huwa natotoa mayai ya watu kwa kutumia machine zangu mwenyewe but now nataka nianze kutotoa broilers lakini changamoto kubwa kubwa ni jinsi ya kupata yale mayai special ya kutoa broiler na hata layers.msaada naombeni jamani
 
Unafuga wakiwa wakubwa. Wakianza kutaga na lazima ufuge na Jogoo zake
 
Kweli kaka Pleo umeongea kwa busara ya hali ya juu...nitaweka picha
ndiyo maana nikapendekeza kuwasiliana kwa kutumia inbox messages
Wako waliopata maelezo waliohitaji

Hata hivyo kwa kifupi:
Kuku hawa ni aina ya Hubbard ambao wanafugwa sana katika bara la Asia na kusini mwa Afrika kama Mauritius, Zambia, Sauth Africa etc.
kifaranga ni sh 1350/-
order ni kuanzia vifaranga 250 -500 kwa order
Napatikana Dar es salaam eneo la Bunju
kwa mawasiliano ya simu ni- inbox message
Karibuni

nimewaona na wanamuonekano mzuri, ila kma wenzangu wanvyosema weka numver ya sim na kingine mimi oder yangu ni ndogo ta kuku 50 tu tokana na uwezo wa banda langu, nijulishe kama twaweza fanya biashar
 
Back
Top Bottom